Hayati Magufuli: Ni mara kumi nikachunge kule kijijini kuliko kuwa Rais na kuliuza Taifa

Hayati Magufuli: Ni mara kumi nikachunge kule kijijini kuliko kuwa Rais na kuliuza Taifa

..huyu Mwendazake alikuwa na MATAMANIO,ila alikosa MAARIFA, HEKIMA+ kuwa na ROHO MBAYA
Maarifa Alikuwa Nayo Elimu yake Wewe Hufikii Hata Robo,Amedhihirisha Elimu Yake Leo miundombinu Imeimarika Kwa kiasi kikubwa,Huduma za Afya Zimeboreshwa Kwa kiasi fulani
Roho mbaya Ni sehemu Ya Kazi haiwezekani Kumfurahisha Kila Mtu
 
Niwe mkweli sikuwahi kumpenda Magufuli hata kidogo especially kwenye haya mambo ya wapinzani,kuuna nk lakini kitu kimoja nitakumbuka ni ile hotuba ya mikataba feki aliyokuwa anahutubia na kila kiongozi alikuwepo ila leo hii yamekuwa haya.Aliposema mtanikumbuka sasa ndio naelewa alikuwa anamaanisha nini.Binadamu wana mapungufu ila Magu kwa upande wa maslahi ya nchi alikuwa makini sana
 
Ila pia tulishaambiwa anafungua nchi acha afungue tu.Mpk ifike wakati anaondoka sijui tutakuwa tumebaki na nini
 
Ila katusaidia sana kujua tunavyopigwa! Wapigaji wanapiga Taifa na wasivyo na aibu wanapiga hadi chama chenyewe na huko ndani wanaogopana tu!

Mtu akiona makubwa anajikalia pembeni na kunungunika badala ya kuingia vitani kusaidia Taifa.
Swali kwanini magu aliamua kumtumbua CAG?hali yakuwa muda wake alikuwa bado
 
"Unapoona Wananchi wanashangaa shangaa sana, hawakuzoea ninayoyafanya, walijua nitakuwa sehemu ya wezi, NEVER, sio Mimi. Ni mara kumi nikachunge kule kijijini kuliko kuwa Rais na kuliuza Taifa, ninasema hapana"

Hayati Rais John Pombe Magufuli.

View attachment 2689631
Hamna lolote Magufuli alikuwa mwizi mbaya kuliko hata hao aliosema "nitakuwa sehemu ya wezi".
 
"Unapoona Wananchi wanashangaa shangaa sana, hawakuzoea ninayoyafanya, walijua nitakuwa sehemu ya wezi, NEVER, sio Mimi. Ni mara kumi nikachunge kule kijijini kuliko kuwa Rais na kuliuza Taifa, ninasema hapana"

Hayati Rais John Pombe Magufuli.

View attachment 2689631
Kwani nani kauza taifa?,magufuli huyu huyu aliruhusu mkataba Wa loliondo kuhuishwa licha ya hamis kigwangala kutaka ku u terminate
 
Umepigwa kweny mshono [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] imebid utoe milio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!! Jamaa yupo sahihi nakubaliana nae, JPM alikua mwenye malengo mazur san na rasilimali za Taifa tatizo ni hilo aliloainisha. Hekima ni kitu muhimu san unapopewa jukumu la kuongoza watu, jiulize kwann Suleiman aliomba hekima na akamwambia MUNGU wazi kbs ni ili aweze kuamua kwa haki na kua na ndimi inayotoa hekima!!
Wenye hekima ni akinane,yaan hekima unayotaka mtu aibe pesa za umma ,halafu aitwe abembelezwe halafu aitwe stupid,iishie hapo hapana
 
Back
Top Bottom