Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Wewe una roho nzuri?..huyu Mwendazake alikuwa na MATAMANIO,ila alikosa MAARIFA, HEKIMA+ kuwa na ROHO MBAYA
unamfahamu rais magufuli personally?..huyu Mwendazake alikuwa na MATAMANIO,ila alikosa MAARIFA, HEKIMA+ kuwa na ROHO MBAYA
Kwa hiyo unapenda maneno matamu,Chui avae ngozi ya kondoo,halafu akuuze kama mifugo,kuku,bata,mbuzi,uwa hawajui kama wanauzwa,kwa hiyo unapenda kulelewa kama mfugo halafu uuzwe,Dunia imebadilika sana...huyu Mwendazake alikuwa na MATAMANIO,ila alikosa MAARIFA, HEKIMA+ kuwa na ROHO MBAYA
SaanaWewe una roho nzuri?
Umepigwa kweny mshono π€£π€£π€£π€£ imebid utoe milio ππππ!!! Jamaa yupo sahihi nakubaliana nae, JPM alikua mwenye malengo mazur san na rasilimali za Taifa tatizo ni hilo aliloainisha. Hekima ni kitu muhimu san unapopewa jukumu la kuongoza watu, jiulize kwann Suleiman aliomba hekima na akamwambia MUNGU wazi kbs ni ili aweze kuamua kwa haki na kua na ndimi inayotoa hekima!!Wewe una roho nzuri?
Na yeye anasema hivyo hivyo kama Wewe!Saana
Mimi nazungumzia roho hekima anayo Suleiman ππUmepigwa kweny mshono π€£π€£π€£π€£ imebid itoe milio ππππ!!! Jamaa yupo sahihi nakubaliana nae, JPM alikua mwenye malengo mazur san na rasilimali za Taifa tatizo ni hilo aliloainisha. Hekima ni kitu muhimu san unapopewa jukumu la kuongoza watu, jiulize kwann Suleiman aliomba hekima na akamwambia MUNGU wazi kbs ni ili aweze kuamua kwa haki na kua na ndimi inayotoa hekima!!
Hekima hupewa kwa yeyote aombae katika kweli! NB: Kwamba roho nzur ama?Mimi nazungumzia roho hekima anayo Suleiman ππ
Mm sijawahi poteza watu SheikhNa yeye anasema hivyo hivyo kama Wewe!
Two wrongs do not make right Sir!Kwa hiyo unapenda maneno matamu,Chui avae ngozi ya kondoo,halafu akuuze kama mifugo,kuku,bata,mbuzi,uwa hawajui kama wanauzwa,kwa hiyo unapenda kulelewa kama mfugo halafu uuzwe,Dunia imebadilika sana.