Hayati Magufuli: Ni mara kumi nikachunge kule kijijini kuliko kuwa Rais na kuliuza Taifa

Wew ni mjinga usidhani kazi ni rahisi kama unavyobwabwaja hujui ugumu aliokuwa anaupata Kwa ajili yako na vitukuu wako huku wew ukimtukana bila kujua kuwa anakupigania
Mbona hasira hivyo mama??..hebu kunywa maji kwanza!
 
Miaka ndio atakuja patikana mzalendo wa kweli ka jembe jpm lala kwa amani mwamba!
Tulishatoka utumwani kwa lile shetani lenu la Chato.
Twamuomba sana Mungu asitupe tena jaribu la kutuletea jitu hatari kama lile
 
Si hilo tu, pia aliunda Tume ya kuchunguza mali za CCM. Mwenye nakala ya ripoti hiyo atuwekee humu tujue ufisadi ndani hicho chama
 
Kwa hiyo bora anaeuza nchi kwa hekima nimekuulewa
Hata mimi naona bora upate hekima ya kuuza nchi bila kelele waka vurugu na na bora usiwe na uzarendo na rasilimali za nchi yako ila upate hekima
 
Wew ni mjinga usidhani kazi ni rahisi kama unavyobwabwaja hujui ugumu aliokuwa anaupata Kwa ajili yako na vitukuu wako huku wew ukimtukana bila kujua kuwa anakupigania
Nyoooo!
Labda alikupigania wewe, sie wengine Shenzi lile liliturudisha nyuma sana
 
Kwa hiyo bora anaeuza nchi kwa hekima nimekuulewa
Hata mimi naona bora upate hekima ya kuuza nchi bila kelele waka vurugu na na bora usiwe na uzarendo na rasilimali za nchi yako ila upate hekima
C kila mwenye ubongo ana akili!! Rudi kusoma context yang tena!! Hakuna sehem nimesema bora kuuza Nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…