Hayati Magufuli pamoja na kuwa hatunae, Malawi wameandika kitabu kuenzi kazi zake

Said Stuard Shily

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
2,396
Reaction score
2,108
Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA

IMG-20230524-WA0011.jpg
 
Ongelea mataifa yenye akili. Should not think as low as the ones you are reference is. Understand?!
 
Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
tunasubili kitabu cha samia.. magu bado anaishi
 
Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
Nchi nyingi zinaamini Magufuli aliuliwa na wazungu.

Juzi kati nilikuwa South Sudan, hawaamini kabisa kwamba alikufa tu hivihivi.
 
itoshe tu kusema ameandikwa kwenye kitabu hata kama ni kwenye nchi maskini...wewe subilia mama aandikwe na usa
Hakuna nchi yoyote Duniani iliyoandika kitabu. Kama Malawi umefanya hivyo itakuwa nchi ya kwanza duniani.. Ila mwanazuoni wa nchi yoyote anaweza kuandika kitabu on an event in any country na akapublish.
Kwa Malawi tunajua yule Balozi tapeli mtetea legacy mfu alipokuwa Balozi nchini Malawi aliwanunua wanataaluma wenye njaa kali pale Malawi waandike hicho mnachosema ili kuonesha legacy is real. Wenye akili wanajua hamna kitu isipokuwa utapeli.
 
Kwani mbowe hana pesa ya kununua wanataluma wakaandiaka KILIMANJARO MBOWE and CHANGE
 
Kwa hiyo Malawi ni puppet wa Tanzania?
Hawezi kuwa puppet kwa kuwa hakuna anachafaidika na Tanzania, puppet ni yule anayefaidika kwa mabwana zake na hufanya chochote kile anachoambiwa na mabwana zake kulinda maslahi.
Mfano mzuri ni Western countries (mabwana) na some shitholes countries in Afrika(puppets)
 
Back
Top Bottom