Hayati Magufuli pamoja na kuwa hatunae, Malawi wameandika kitabu kuenzi kazi zake

Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA

View attachment 2633658
Nawe jamaa nawe! Kwa hiyo kati ya huyo Mnyasaland na sisi wabongo nani ameteswa sana na wasiojulikana? Hicho kitabu kimegusia ni kwa nini Lissu alipigwa risasi ktk utawala wa huyo mtu wako?
Kitanda usichikilalia hujui kunguni wake. Over.
 
Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA

View attachment 2633658
SaFI Sana. Tunasubiri comments za watu wazuri
 
Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA

View attachment 2633658
Na Dunia yote?tehetehe
 
Anastahili sifa zake,lazima alikuwa na mazuri,lakini usizidishe chumvi
 
Kule Malawi mtu anaweza kutembea barabarani peku shati liimechanika still kavaa tai..... Sasa wewe mambo ya Malawi unatuletea hapa
 
Siyo mataifa yenye akili sema mataifa vibaraka vya mabeberu, kama huamini nitajie mataifa matano unayoyaona yenye akili ambayo sio puppets wa western

Mental slavery is real
Eaa
Nchi nyingi zinaamini Magufuli aliuliwa na wazungu.

Juzi kati nilikuwa South Sudan, hawaamini kabisa kwamba alikufa tu hivihivi.
Waaafrika wengi hawana akili ndio maana maendeleo ni ndoto
 
Nabii hakubaliki nyumbani, hatimaye kitabu kinachohusu maisha ya Hayati Rais Daktari John Pombe Magufuli kitazinduliwa tarehe 9/6/2023 katika hotel ya Golden Peacock, Lilongwe nchini Malawi, Luka 19:40 Yesu akawajibu,"Nawaambieni, kama Hawa wakinyamaza , hakika hayo mawe yatapaza sauti."

IMG-20230524-WA0038.jpg
 
Wakati team visasi mkihangaika na kupigana na Marehemu!
Wakati team visasi mkiwa bado msibani kwa kinara wa visasi!

Wenzenu wasomi wa ukweli nchini Malawi, wanamuenzi kwa kumzindulia kitabu chake chenye hadhi ya kimataifa
Tarehe-9-June 2023.

Na sio ule uchafu wa Kibanda na genge la wasakatonge wenzake!
Huku ndio kutambulika kimataifa,sio kwa kuiuza nchi Dubai.

Aibu ingine hii kwenu wasakatonge wachumia tumbo wa kibongo!
Nimemaliza mengine picha itajieleza!
IMG-20230524-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom