Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Majinga chadema yatajinyonga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe jamaa nawe! Kwa hiyo kati ya huyo Mnyasaland na sisi wabongo nani ameteswa sana na wasiojulikana? Hicho kitabu kimegusia ni kwa nini Lissu alipigwa risasi ktk utawala wa huyo mtu wako?Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
View attachment 2633658
Umesoma na kile cha I'm the state?Majinga chadema yatajinyonga
Imewauma sana aiseeWatu wake kwani watumishi wa umma hawakuwa watu wake mbona alisigina haki zao za kisheria
Mapumbafu makubwaMajinga chadema yatajinyonga
SaFI Sana. Tunasubiri comments za watu wazuriProfessor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
View attachment 2633658
Ule ni uchafu. Tunasubiri kilichoandikwa na Professor nguli wa tafiti na uandishiUmesoma na kile cha I'm the state?
Watu wazuri ambao wameanza kufaSaFI Sana. Tunasubiri comments za watu wazuri
Na Dunia yote?teheteheProfessor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
View attachment 2633658
Anastahili sifa zake,lazima alikuwa na mazuri,lakini usizidishe chumviProfessor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
View attachment 2633658
EaaSiyo mataifa yenye akili sema mataifa vibaraka vya mabeberu, kama huamini nitajie mataifa matano unayoyaona yenye akili ambayo sio puppets wa western
Mental slavery is real
Waaafrika wengi hawana akili ndio maana maendeleo ni ndotoNchi nyingi zinaamini Magufuli aliuliwa na wazungu.
Juzi kati nilikuwa South Sudan, hawaamini kabisa kwamba alikufa tu hivihivi.
Nami naitakaSoft copy itapatikana??