Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haters wa Magufuli wametepeta vibayaNabii hakubaliki nyumbani, hatimaye kitabu kinachohusu maisha ya Hayati Rais Daktari John Pombe Magufuli kitazinduliwa tarehe 9/6/2023 katika hotel ya Golden Peacock, Lilongwe nchini Malawi, Luka 19:40 Yesu akawajibu,"Nawaambieni, kama Hawa wakinyamaza , hakika hayo mawe yatapaza sauti."
View attachment 2633826
Tulia wewe mtotoBila shaka mwandishi atakuwa yule mwalimu wa shule ya uongozi [emoji848][emoji848][emoji848]
Sasa mnajadili jalada la kitabu na sio maudhui yake?Haters wa Magufuli wametepeta vibaya
Ni kweli kabisaa!Nimefarijika sana kuona hii kitu,mungu mwema sana
Wasije wakamuua huyo professor,maana hawa haters wa Magufuli hawataki kusikia anasemwa vyemaProfessor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
View attachment 2633658
Ndugu ,jamaa zako,wazazi wako wahesabu wanahasara kubwa sana juu yako,wangejua wangepiga mgalala tuOngelea mataifa yenye akili. Should not think as low as the ones you are reference is. Understand?!
Hicho soma wewe na baba yako mzaziKilipoandikwa na watanzania kuonesha mapungufu yake kiliitwa kipeperushi. Ukipenda kusifiwa upende na kukosolewa
Tusome pia IAM THE STATE Kitabu cha wahariri wetu toka kwetu
Polepole alitumwa ubalozi hakutumwa kutunga vitabuNabii hakubaliki nyumbani, hatimaye kitabu kinachohusu maisha ya Hayati Rais Daktari John Pombe Magufuli kitazinduliwa tarehe 9/6/2023 katika hotel ya Golden Peacock, Lilongwe nchini Malawi, Luka 19:40 Yesu akawajibu,"Nawaambieni, kama Hawa wakinyamaza , hakika hayo mawe yatapaza sauti."
View attachment 2633826
Kwani nani ambae hajui kwamba hicho kitabu ni kwa hisani ya H.polepole !?Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
View attachment 2633658
Kama ambavyo mliwanunua kina Ngurumo,Navile Meena, Jesse Kwayu,na kitabu kikawadodea kinomaHakuna nchi yoyote Duniani iliyoandika kitabu. Kama Malawi umefanya hivyo itakuwa nchi ya kwanza duniani.. Ila mwanazuoni wa nchi yoyote anaweza kuandika kitabu on an event in any country na akapublish...