christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Nitakitafuta hiki kitabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ungechagua lugha moja uweze kueleweka.Ongelea mataifa yenye akili. Should not think as low as the ones you are reference is. Understand?!
Amazing crap. Where do you get time?Hakuna nchi yoyote Duniani iliyoandika kitabu. Kama Malawi umefanya hivyo itakuwa nchi ya kwanza duniani.. Ila mwanazuoni wa nchi yoyote anaweza kuandika kitabu on an event in any country na akapublish.
Kwa Malawi tunajua yule Balozi tapeli mtetea legacy mfu alipokuwa Balozi nchini Malawi aliwanunua wanataaluma wenye njaa kali pale Malawi waandike hicho mnachosema ili kuonesha legacy is real. Wenye akili wanajua hamna kitu isipokuwa utapeli.
Kisome, ufanye tafakuri.Nawe jamaa nawe! Kwa hiyo kati ya huyo Mnyasaland na sisi wabongo nani ameteswa sana na wasiojulikana? Hicho kitabu kimegusia ni kwa nini Lissu alipigwa risasi ktk utawala wa huyo mtu wako?
Kitanda usichikilalia hujui kunguni wake. Over.
Wachana na vya BURE!Soft copy itapatikana??
Ni wewe tu unajuwa.Kwani nani ambae hajui kwamba hicho kitabu ni kwa hisani ya H.polepole !?
Utakufa shauli yako.legacy Iko afrika sasaivi sio Ile ya waandishi Iko kinondoni Bado mpaka sasaivi, kudadadekiKwahiyo ndo kazi polepole alienda kufanya hivyo hadi akatenguliwa Malawi na kupelekwa Cuba?
Yaani balozi nzima na akili zako unaenda malawi kushinikiza kiandikwe kitabu ili ionekane Kuwa mwendazake ni shujaa wa Africa nzima?
Ndo maana alibadilishwa fastaa akapelekwa Cuba sasa ngoja tuone huko Cuba kama ataenda kulazimishwa tena ajenda ya kumpublish mwendazake ili ionekane kuwa anakubalika hadi Cuba?
Bado wanahangaika hawa SukumaGang kumpa umaarufu huyo mfu ambaye hakua na faida yoyote kwa taifa!!Sijui ilikuaje yule mwehu akawa Rais wa nchi hii?
Yaani zile kiki za awamu ya 5 polepole ndo anadrive hadi kuandaa mipango kitabu kiandikwe huko malawi kwa mashinikizo ili eti mwendazake aonekane shujaa na alikua anakubalika kumbe ni kiki tu
Malawi juzi juzi tumewapelekea mahindi na ela ya kusambaza na kusagaProfessor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
View attachment 2633658
Kiingereza chenyewe shida 😂😂Ongelea mataifa yenye akili. Should not think as low as the ones you are reference is. Understand?!
Kile kimeandikwa na wajinga wajingaUmesoma na kile cha I'm the state?
Ni matumizi mabaya ya muda na akili kusoma takataka.Kilipoandikwa na watanzania kuonesha mapungufu yake kiliitwa kipeperushi. Ukipenda kusifiwa upende na kukosolewa
Tusome pia IAM THE STATE Kitabu cha wahariri wetu toka kwetu
Na wewe si uandike cha mbowePolepole alitumwa ubalozi hakutumwa kutunga vitabu
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Form six kazungushaMbowe hayupo kwenye kundi la wajingawajinga.
Chuki ya nini Kati yangu Mimi na weweHakuna nchi yoyote Duniani iliyoandika kitabu. Kama Malawi umefanya hivyo itakuwa nchi ya kwanza duniani.. Ila mwanazuoni wa nchi yoyote anaweza kuandika kitabu on an event in any country na akapublish.
Kwa Malawi tunajua yule Balozi tapeli mtetea legacy mfu alipokuwa Balozi nchini Malawi aliwanunua wanataaluma wenye njaa kali pale Malawi waandike hicho mnachosema ili kuonesha legacy is real. Wenye akili wanajua hamna kitu isipokuwa utapeli.
Kwani kuzungusha ndio kumaanisha ni mjingamjinga ? Acheni basi huo ujingaForm six kazungusha
Mr Dj😂😂😂
Yaani upate zero alafu uwe na akili yule ni kiaziKwani kuzungusha ndio kumaanisha ni mjingamjinga ? Acheni basi huo ujinga
Zero ni namba tu sio kila anaepata 1 au 2 ni kichwa wengine ni mafundi wa kukariri kichwani hana kitu ukiondoa kile alichokariri, bado haujaelewa?Yaani upate zero alafu uwe na akili yule ni kiazi