Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
Ongelea mataifa yenye akili. Should not think as low as the ones you are reference is. Understand?!Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
tunasubili kitabu cha samia.. magu bado anaishiProfessor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
Ww una akiliOngelea mataifa yenye akili. Should not think as low as the ones you are reference is. Understand?!
SahihiWw una akili
itoshe tu kusema ameandikwa kwenye kitabu hata kama ni kwenye nchi maskini...wewe subilia mama aandikwe na usaOngelea mataifa yenye akili. Should not think as low as the ones you are reference is. Understand?!
Siyo mataifa yenye akili sema mataifa vibaraka vya mabeberu, kama huamini nitajie mataifa matano unayoyaona yenye akili ambayo sio puppets wa westernOngelea mataifa yenye akili. Should not think as low as the ones you are reference is. Understand?!
Nchi nyingi zinaamini Magufuli aliuliwa na wazungu.Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
Hakuna nchi yoyote Duniani iliyoandika kitabu. Kama Malawi umefanya hivyo itakuwa nchi ya kwanza duniani.. Ila mwanazuoni wa nchi yoyote anaweza kuandika kitabu on an event in any country na akapublish.itoshe tu kusema ameandikwa kwenye kitabu hata kama ni kwenye nchi maskini...wewe subilia mama aandikwe na usa
Kwa hiyo Malawi ni puppet wa Tanzania?Siyo mataifa yenye akili sema mataifa vibaraka vya mabeberu, kama huamini nitajie mataifa matano unayoyaona yenye akili ambayo sio puppets wa western
Mental slavery is real
Kwani mbowe hana pesa ya kununua wanataluma wakaandiaka KILIMANJARO MBOWE and CHANGEHakuna nchi yoyote Duniani iliyoandika kitabu. Kama Malawi umefanya hivyo itakuwa nchi ya kwanza duniani.. Ila mwanazuoni wa nchi yoyote anaweza kuandika kitabu on an event in any country na akapublish.
Kwa Malawi tunajua yule Balozi tapeli mtetea legacy mfu alipokuwa Balozi nchini Malawi aliwanunua wanataaluma wenye njaa kali pale Malawi waandike hicho mnachosema ili kuonesha legacy is real. Wenye akili wanajua hamna kitu isipokuwa utapeli.
Hawezi kuwa puppet kwa kuwa hakuna anachafaidika na Tanzania, puppet ni yule anayefaidika kwa mabwana zake na hufanya chochote kile anachoambiwa na mabwana zake kulinda maslahi.Kwa hiyo Malawi ni puppet wa Tanzania?
Mbowe hayupo kwenye kundi la wajingawajinga.Kwani mbowe hana pesa ya kununua wanataluma wakaandiaka KILIMANJARO MBOWE and CHANGE
Wewe unajua nini ? Tatizo mnapenda sana amini vitu bila ushahidi wowoteKamchacha anamjua magufuli kuliko sisi.? Alivyotutesa! Asubiri vitabu vyetu sisi wengin vinaumiza watu
Angejua Malawi ilivyo..Ongelea mataifa yenye akili. Should not think as low as the ones you are reference is. Understand?!