Hayati Magufuli: Waacheni watoto wasome, msiwatumie kwenye siasa

Yupo sahihi

Chipukizi ni usultani kutengeneza vizazi vya vigogo kuwa kwenye system ya uongozi, Chipukizi ina impact yoyote kwa maisha ya mtanzania?
 
Siasa imegeuka biashara ya familia.

Wenzetu wanarithisha watoto wao makampuni na viwanda.

Viongozi wetu wapo busy kurithisha watoto wao nafasi za uongozi.

Kizazi cha wizi kinaendelea.
Biashara ya mafisadi
 
Sikuona cha maana alichofanya. Hilo bwawa aliliacha likiwa 30% lkn kwa uongo wake alikuwa anasema liko 70%.
Jamaa alikuwa muongo muongo na mpenda sifa
1000006218.jpg
 
Huyu alikuwa muoga sana. Alikuwa anaogopa chadema ikunda kundi lake la watoto angekosa pa kutokea

Sijawahi kumpa credit ktk jambo lolote huyu dikteta.
Wewe hata usipofikishwa kileleni utamlaumu dikteta wako huyo
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli, aliwahi kupendekeza kufutwa utaratibu wa kutumia Watoto katika Siasa kwa kuwaita Chipukizi ambapo alihoji Watoto hao watakuwa na muda gani wa Kusoma endapo watakuwa katika masuala ya Kisiasa.

View attachment 2849472
Atoe ujinga wake huko,yeye mwenyewe aliokotezwa huko ndio maana akawa disaster kwenye Nchi.

Duniani kote Viongozi wanaandaliwa Wakiwa wadogo,kama huna akili huna tuu.
 
LEO CCM ya AWAMU ya 6 inawaingiza watoto kwenye siasa wakati Sheria inataka kuanzia Miaka 18

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Huyu alikuwa muoga sana. Alikuwa anaogopa chadema ikunda kundi lake la watoto angekosa pa kutokea

Sijawahi kumpa credit ktk jambo lolote huyu dikteta.
Na tusisikie nyokonyoko CHADEMA nao wakiunda Young Pioneers.
 
Atoe ujinga wake huko,yeye mwenyewe aliokotezwa huko ndio maana akawa disaster kwenye Nchi.

Duniani kote Viongozi wanaandaliwa Wakiwa wadogo,kama huna akili huna tuu.
Umeshasema Kama huna akili huna!
Hata uandaliwe tangu mtoto, Kama huna akili huna tu!
Nyerere hakuwa chipkizi wa CCM

Wapelekeni Tanesko makada hao waliopita chipkizi , wakamalize tatizo la Umeme!
 
Atoe ujinga wake huko,yeye mwenyewe aliokotezwa huko ndio maana akawa disaster kwenye Nchi.

Duniani kote Viongozi wanaandaliwa Wakiwa wadogo,kama huna akili huna tuu.
Kumbe kwani hapakuwa na waluonda
aliwa Hadi aokotwe
 
Atoe ujinga wake huko,yeye mwenyewe aliokotezwa huko ndio maana akawa disaster kwenye Nchi.

Duniani kote Viongozi wanaandaliwa Wakiwa wadogo,kama huna akili huna tuu.
Kama huna akili huna akili tu hata uandaliwe ukiwa tumboni.
 
Sikuona cha maana alichofanya. Hilo bwawa aliliacha likiwa 30% lkn kwa uongo wake alikuwa anasema liko 70%.
Jamaa alikuwa muongo muongo na mpenda sifa
Huyu jpm naona alishawahi kuku pumilia,ndio maana unamchukia.
 
Huyu alikuwa muoga sana. Alikuwa anaogopa chadema ikunda kundi lake la watoto angekosa pa kutokea

Sijawahi kumpa credit ktk jambo lolote huyu dikteta.
Once a hater always a hater
 
Back
Top Bottom