Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashangaa kwa mwanamke wa kiislam kwenda makaburini?Uislam wa siki hizi ,huyo samis alienda makaburini chato kumzika jpm niloshamgaa sana
😂 Presha imepanda mtu akaamua alale kidogo kushtuka yupo shimoni na sanda juuNyie mtu akizirai tu mnamtia futi sita bora si tunaokaa ktk friji ata wiki
Oyaa sio poa, maana ndio ukweli nahisi walidhani anaweza fufuka kama mtoto wa seremala😂, daadeki mbona aligeuka mzoga ilibidi kufukia fastaWaislamu wasione hii 😂
read again post kuuAliyetangaza msiba huu, Kwa mujibu wa Sheria za kiislam ikoje?
Ukiingia kwenye siasa za uongozi wa juu,sahau kuhusu sheria kama hizo.
Uko hapa:kwanini tusahau , ugumu uko wapi ?
Ya kiarabu au kiislam? Kwani Mzee asili Yale ni kabila gani? Na taratibu za mazishi za kabila hilo ni zipo?Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi kafariki saa 11 na nusu jioni ya leo tarehe 29/2/2024 hivyo kwa taratibu za kiislam inabidi azikwe kesho 01/03/2024 kabla ya saa 11 na nusu jioni, ikipendeza zaidi ilibidi iwe kesho asubuhi au mchana
Imepokewa kutoka kwa Abu Hurayra رضى الله عنه akisema: Amesema Mtume ﷺ : “Harakisheni mazishi! Kwani kama maiti ni mja mwema basi haifai kumchelewesha, na kama ni mja muovu basi ni shari na balaa mnaweka mabegani mwenu.
Muttafaq Alayhi.
951. Imepokewa kutoka kwa Huswayn bin Wahwah akisema: “Aliumwa Twalha bin al-Baraa’ bin ‘Azib akatembelewa na Mtume nyumbani kwake. Baada ya kumuona, alisema: “Naona mwisho wa maisha ya Abu Twalha unakaribia, hivyo akifariki nijulisheni, na harakisheni kumtayarisha kumzika; kwani haifai kuachwa mzoga wa mwili wa Mwislamu kusalia nyumbani na familia yake” Ameipokea Abu Daud.
Yule tall mwembamba mkuu?Kuna yule mlinzi wa Kikwete aliyefariki majuzi naye alikesha hakuzikwa ndani ya huo muda, sijui alikwenda kuzikwa upareni au Moshi
Sio wiki ijayo Hata miaka Kumi wakitaka Tu inawezekanaSerekali haina Dini wakiamua hata wiki ijayo
Unashangaa kwa mwanamke wa kiislam kwenda makaburu I?
Vipi hili la mwanamke huyo huyo kuongoza wanaume, halikushangazi?
Uislam halisi waachiwe Taleban, hawa Waislam wa bongo hawapo chini ya sharia.
Kwahiyo?Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi kafariki saa 11 na nusu jioni ya leo tarehe 29/2/2024 hivyo kwa taratibu za kiislam inabidi azikwe kesho 01/03/2024 kabla ya saa 11 na nusu jioni, ikipendeza zaidi ilibidi iwe kesho asubuhi au mchana
Imepokewa kutoka kwa Abu Hurayra رضى الله عنه akisema: Amesema Mtume ﷺ : “Harakisheni mazishi! Kwani kama maiti ni mja mwema basi haifai kumchelewesha, na kama ni mja muovu basi ni shari na balaa mnaweka mabegani mwenu.
Muttafaq Alayhi.
951. Imepokewa kutoka kwa Huswayn bin Wahwah akisema: “Aliumwa Twalha bin al-Baraa’ bin ‘Azib akatembelewa na Mtume nyumbani kwake. Baada ya kumuona, alisema: “Naona mwisho wa maisha ya Abu Twalha unakaribia, hivyo akifariki nijulisheni, na harakisheni kumtayarisha kumzika; kwani haifai kuachwa mzoga wa mwili wa Mwislamu kusalia nyumbani na familia yake” Ameipokea Abu Daud.
Hapo pa kujua moja ni mwema au muovu😁😁😁😁 maandiko ya uongo hayaHayati Mzee Ali Hassan Mwinyi kafariki saa 11 na nusu jioni ya leo tarehe 29/2/2024 hivyo kwa taratibu za kiislam inabidi azikwe kesho 01/03/2024 kabla ya saa 11 na nusu jioni, ikipendeza zaidi ilibidi iwe kesho asubuhi au mchana