Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi kuzikwa tarehe 2 badala ya siku ya kesho ndani ya masaa 24 ni kukiuka mazishi ya kiislam. Napendekeza ratiba ibadilishwe

Kuna yule mlinzi wa Kikwete aliyefariki majuzi naye alikesha hakuzikwa ndani ya huo muda, sijui alikwenda kuzikwa upareni au Moshi
 
Ya kiarabu au kiislam? Kwani Mzee asili Yale ni kabila gani? Na taratibu za mazishi za kabila hilo ni zipo?
 
Ninavyojua mimi muislamu anatakiwa azikwe mapema lkn kuhusu ndani ya masaa 24 hapo kidogo sipafahamu

Pili kama marehemu wakati yupo hai alitoa taarifa kwamba azikwe kwa namna fulani serikali inasikiliza, mfano marehemu abdu jumbe raisi mstaafu wa zanzibar, kabla ya kifo chake alisema hataki mizinga wala mbwembwe, alitaka kuzikwa kiislamu na ikawa hivyo
 
Kwahiyo?
 
Hapo pa kujua moja ni mwema au muovu😁😁😁😁 maandiko ya uongo haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…