Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kwa hiyo siku hizi wasaudi wana viongozi wanawake?Nakumbuka zamani wasaudi walikuwa hawataki kuona kiongozi mwanamke na walimkataza kabisa waziri mkuu wa zamani wa Pakistan kuingia kwao
Ila siku hizi utafikiri wamebadili dini
Kiongozi mkuu ni kama RaisKwa hiyo siku hizi wasaudi wana viongozi wanawake?
Vipi kwa Taleban kuna waziri yeyote mwanamke?kuna mawaziri na wa kwanza aliteuliwa na King Fahad
acha upumbavu Wewe zuzuTakhbiiiiiiiirrrrrr
Taleban hao wehuVipi kwa Taleban kuna waziri yeyote mwanamke?
Sio kwamba ndio Waislam halisi?Taleban hao wehu
Wahuni tu hao. Eti wanataka wanawake wafungiwe tu nyumbani. Hivi mke wa mtume angekutana wapi na Bi Hadija kama huyo bi Hadija hakuwa anatoka nje kufanya biashara.Sio kwamba ndio Waislam halisi?
Enzi za kina bi Khadija uislam haukuwepo. Kwa taarifa yako bi khadija alikuwaga mlokole, so alikuwa free sana kutembea sehemu mbalimbali .Wahuni tu hao. Eti wanataka wanawake wafungiwe tu nyumbani. Hivi mke wa mtume angekutana wapi na Bi Hadija kama huyo bi Hadija hakuwa anatoka nje kufanya biashara.
Mlokole loh.Enzi za kina bi Khadija uislam haukuwepo. Kwa taarifa yako bi khadija alikuwaga mlokole, so alikuwa free sana kutembea sehemu mbalimbali .
Bi Khadija alikuwa akifanya biashara na kuzunguka sehemu mbalimbali duniani, na ndiko katika mizunguko yake ya kibiashara alikutana na Muddy wakayajenga.
Ulokole haujaletwa na kina Benn Hinn mkuu, ulokole uliletwa na Yesu mwenyewe kisha ukasambazwa na mtume Paulo ukaenea uarabuni na ulaya kabla hata Muddy hajazaliwa.Mlokole loh.
Sasa hivi hadi pombe wanaanza kuruhusu kidogo kidogo mwisho wataachia kabisaaa.Nakumbuka zamani wasaudi walikuwa hawataki kuona kiongozi mwanamke na walimkataza kabisa waziri mkuu wa zamani wa Pakistan kuingia kwao
Ila siku hizi utafikiri wamebadili dini
Pombe zilikuwepo ila kwa shinikizo la mataifa kama Mabalozi na wanajeshiSasa hivi hadi pombe wanaanza kuruhusu kidogo kidogo mwisho wataachia kabisaaa.
Kupoteza muda na maandishi yasiyokuwa na significance ya science, the scientific reasoning. haya ya dini ni mastory ya watu ambayo hatuna uhakika kama yapo.....kupoteza muda na kujipa mahangaiko ya bureHayati Mzee Ali Hassan Mwinyi kafariki saa 11 na nusu jioni ya leo tarehe 29/2/2024 hivyo kwa taratibu za kiislam inabidi azikwe kesho 01/03/2024 kabla ya saa 11 na nusu jioni, ikipendeza zaidi ilibidi iwe kesho asubuhi au mchana
Imepokewa kutoka kwa Abu Hurayra رضى الله عنه akisema: Amesema Mtume ﷺ : “Harakisheni mazishi! Kwani kama maiti ni mja mwema basi haifai kumchelewesha, na kama ni mja muovu basi ni shari na balaa mnaweka mabegani mwenu.
Muttafaq Alayhi.
951. Imepokewa kutoka kwa Huswayn bin Wahwah akisema: “Aliumwa Twalha bin al-Baraa’ bin ‘Azib akatembelewa na Mtume nyumbani kwake. Baada ya kumuona, alisema: “Naona mwisho wa maisha ya Abu Twalha unakaribia, hivyo akifariki nijulisheni, na harakisheni kumtayarisha kumzika; kwani haifai kuachwa mzoga wa mwili wa Mwislamu kusalia nyumbani na familia yake” Ameipokea Abu Daud.
Mzee Mwinyi ni Mali ya Watanzania Kwa kiapo Cha Urais. Siyo Mali ya dini Tena.Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi kafariki saa 11 na nusu jioni ya leo tarehe 29/2/2024 hivyo kwa taratibu za kiislam inabidi azikwe kesho 01/03/2024 kabla ya saa 11 na nusu jioni, ikipendeza zaidi ilibidi iwe kesho asubuhi au mchana
Imepokewa kutoka kwa Abu Hurayra رضى الله عنه akisema: Amesema Mtume ﷺ : “Harakisheni mazishi! Kwani kama maiti ni mja mwema basi haifai kumchelewesha, na kama ni mja muovu basi ni shari na balaa mnaweka mabegani mwenu.
Muttafaq Alayhi.
951. Imepokewa kutoka kwa Huswayn bin Wahwah akisema: “Aliumwa Twalha bin al-Baraa’ bin ‘Azib akatembelewa na Mtume nyumbani kwake. Baada ya kumuona, alisema: “Naona mwisho wa maisha ya Abu Twalha unakaribia, hivyo akifariki nijulisheni, na harakisheni kumtayarisha kumzika; kwani haifai kuachwa mzoga wa mwili wa Mwislamu kusalia nyumbani na familia yake” Ameipokea Abu Daud.
Alooo ni kazi sana dah 🤣😂 Presha imepanda mtu akaamua alale kidogo kushtuka yupo shimoni na sanda juu
Kuna marashi na mafuta/dawa zakukufanya mwili usiharibike, kwenye Biblia ndio mana kuna yule mtumishi alikuwa anakwenda kumpaka marashi Yesu ili mwili usiharibikeHuzikwi bila Daktari,kuthibitisha kifo.Na pia toka zamani wapo wanaojua kwa njia za kienyeji,kama mtu ameshafariki au bado.Hata wewe ukifundishwa,unaweza kuelewa.Fikiria wakristo wa zamani,wakati hakuna majokofu,hakuna madaktari wa kisasa,wafu walizikwa vipi.