Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Wazimbabwe gani hao waliotudharau?Aliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje amabayo hivi leo hayana msaada kwetu.
Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni...
Huu ujinga tuliokuwa tunalishwa eti tulisaidia Zimbabwe kupata uhuru sijui utaisha lini.Wazimbabwe gani hao waliotudharau?
Tuliowasaidia kupata uhuru 1980?
Hawa hawa waliokuwa wakiongozwa na ZANU PF-Chama rafiki wa CCM?
Mugabe na Nkomo wote walikuwa washikaji wa Nyerere...
Hisia zako zaweza kuwa kweli kwa Wakenya, ila sio Wazimbabwe.
Me huwa nashangaa watu wakisema eti tulisaidia nchi kadhaa uhuruHuu ujinga tuliokuwa tunalishwa eti tulisaidia Zimbabwe kupata uhuru sijui utaisha lini. Masikini utamsaidia nani kupata uhuru?
Mkuu kwamba hatukuwasaidia ama?Huu ujinga tuliokuwa tunalishwa eti tulisaidia Zimbabwe kupata uhuru sijui utaisha lini.
Masikini utamsaidia nani kupata uhuru?
Halafu unakuta watu wanakaza fuzu kwa historia za kubumba. Ndio maana ukienda kwenye hizo nchi wanashangaa ukisema Tanzania iliwasaidia kupata uhuru.Me huwa nashangaa watu wakisema eti tulisaidia nchi kadhaa uhuru
Muda wa ukoloni ulikuja Africa tukatawaliwa
Na uhuru tulipewa tu hatukupigania uhuru wowote
Kwani hadi saiv kuna Africa wa Wakoloni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni pointi yako kama Ina mashiko. Tenda wema nenda zako usingoje shukrani. Nyerere ndicho alichofanyaAliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje amabayo hivi leo hayana msaada kwetu.
Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni.
Tulionekana hatujui kiingereza, nchi inabarabara mbovu, shule mbovu huku watoto wakikaa nchini na kuvaa masempele mashuleni.
Wazimbabwe na Wakenya walitudharau sana.
Nyerere aliharibu sana basi tu.
View attachment 2913637
Nyerere sio tu kaharibu Tanzania bali ukanda wote wa Africa kusini mwa janga la sahara,yeye katuwekea puppet wa west hawa wakina Kagame na M7Aliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje amabayo hivi leo hayana msaada kwetu.
Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni.
Tulionekana hatujui kiingereza, nchi inabarabara mbovu, shule mbovu huku watoto wakikaa nchini na kuvaa masempele mashuleni.
Wazimbabwe na Wakenya walitudharau sana.
Nyerere aliharibu sana basi tu.
View attachment 2913637
RubbishSioni pointi yako kama Ina mashiko. Tenda wema nenda zako usingoje shukrani. Nyerere ndicho alichofanya
Ndiye chanzo cha umasikini wa taifa hiliAliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje amabayo hivi leo hayana msaada kwetu.
Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni.
Tulionekana hatujui kiingereza, nchi inabarabara mbovu, shule mbovu huku watoto wakikaa nchini na kuvaa masempele mashuleni.
Wazimbabwe na Wakenya walitudharau sana.
Nyerere aliharibu sana basi tu.
View attachment 2913637
Mapungufu/mabaya yake yalikuwa mengi mno kuliko mazuri yakeAliupiga mwingi pamoja na kuwa na mapungufu machache
Kiingereza inakusaidia nini we bwege. Unadharauliwa wewe na lazima udharauliwe kwa akili hizo. Nchi yetu inaheshimika dunia nzima usitulinganishe na vinyago vya mpapureAliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje amabayo hivi leo hayana msaada kwetu.
Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni.
Tulionekana hatujui kiingereza, nchi inabarabara mbovu, shule mbovu huku watoto wakikaa nchini na kuvaa masempele mashuleni.
Wazimbabwe na Wakenya walitudharau sana.
Nyerere aliharibu sana basi tu.
View attachment 2913637
Kwani ni uwongo?mbona kambi za mafunzo ya Askari wao zipo Dodoma, Morogoro na Iringa. Au wewe Mrundi,mbona historia ipo wazi.Halafu unakuta watu wanakaza fuzu kwa historia za kubumba. Ndio maana ukienda kwenye hizo nchi wanashangaa ukisema Tanzania iliwasaidia kupata uhuru.
Muacheni Nyerere apumzike, mbona sasa hivi hayupo tunachimba mpaka madini achilia mbali kuuza viwanda alivyojenga; are we rich now?Ndiye chanzo cha umasikini wa taifa hili
Sema wewe unajidharau tu. Hilo tatizo huwezi kusaidiwa😎Aliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje amabayo hivi leo hayana msaada kwetu.
Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni.
Tulionekana hatujui kiingereza, nchi inabarabara mbovu, shule mbovu huku watoto wakikaa nchini na kuvaa masempele mashuleni.
Wazimbabwe na Wakenya walitudharau sana.
Nyerere aliharibu sana basi tu.
View attachment 2913637
Kweli kabisa, huyu mzee alizingua wacha tu wachonga vinyago wa Ethiopia waharibu sanamu lakeAliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje amabayo hivi leo hayana msaada kwetu.