Hayati Nyerere alifanya Watanzania tudharauliwe sana na nchi za nje hasa Zimbabwe na Kenya

Hayati Nyerere alifanya Watanzania tudharauliwe sana na nchi za nje hasa Zimbabwe na Kenya

Huu ujinga tuliokuwa tunalishwa eti tulisaidia Zimbabwe kupata uhuru sijui utaisha lini.

Masikini utamsaidia nani kupata uhuru?
Amini unachoamini. Kama huu ni ujinga kwako, poa tu.
 
Usidanganywe mkuu,wakenya ni hard working vibaya mno,nchi hata madini haina kama sisi but iko mbele.

Msidanganyike,hao watu ni stingy,pesa za kuharibu hakuna huko,mambo yanaenda na mpangilio.

Umeme wa uhakika,jaribu kukata stima hovyo,utaona wanavyofurika social media zote,maji yapo ya uhakika,nasemea nbi.

Huwezi pata ushabiki wa mpira kama huu wetu.kifupi wanajua kumind biz zao.

Yarden alikuwa kenya alishangaa watu wanapita tu,huko celeb hakuna kushobokewa,unapitwa kama gari ya miraa,no one care.

Ukikaa na hao majamaa,unajifunza mengi.
 
Lengo lake lilikuwa ni nzuri sn majirani nao wawe huru na Africa iungane iwe ni kitu kimoja, huoni aibu kuwa na majirani fukara na wewe ni tajiri kupita kiasi, je utakuwa na amani?
 
Back
Top Bottom