Usidanganywe mkuu,wakenya ni hard working vibaya mno,nchi hata madini haina kama sisi but iko mbele.
Msidanganyike,hao watu ni stingy,pesa za kuharibu hakuna huko,mambo yanaenda na mpangilio.
Umeme wa uhakika,jaribu kukata stima hovyo,utaona wanavyofurika social media zote,maji yapo ya uhakika,nasemea nbi.
Huwezi pata ushabiki wa mpira kama huu wetu.kifupi wanajua kumind biz zao.
Yarden alikuwa kenya alishangaa watu wanapita tu,huko celeb hakuna kushobokewa,unapitwa kama gari ya miraa,no one care.
Ukikaa na hao majamaa,unajifunza mengi.