Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Anayewazuia msiyaweke sawa bado ni Nyerere ?Haya yote mnayoyaona kuwa hayako sawa ni matokeo ya utawala wa Mw. Nyerere.
Anayewazuia msiyaweke sawa bado ni Nyerere ?
Hao wenye mamlaka na uwezo wa kubadili amewaharibu ufahamu. Wanaona iko sawa tuAnayewazuia msiyaweke sawa bado ni Nyerere ?
Endeleeni kusubiri tiba ya huo ufahamu.Hao wenye mamlaka na uwezo wa kubadili amewaharibu ufahamu. Wanaona iko sawa tu
Umeongea kwa uchungu sana 😃Alichokitaka yeye ni kuwa Rais wa JMT tu.Alikuwa na uchu wa madaraka yule Baba.Alitaka miungano huku yeye akiimpose ndo awe Rais.Kenya walimtolea nje.
Idea ili kua kwanza akubali kula ubwabwa wa kwenye sahani ya peter, then akimaliza juma nae alete sahani ili waile wote.Mtakatifu nyerere utuombee
Dishi liko sawa bro!?Idea ili kua kwanza akubali kula ubwabwa wa kwenye sahani ya peter, then akimaliza juma nae alete sahani ili waile wote.
Sasa kilichotokea ni uchoyo tu wa bwana juma kukumbatia sahani yake mara baada ya kula sahani ya peter.
Aliitaka hadi Kenya? DuuhAlichokitaka yeye ni kuwa Rais wa JMT tu.Alikuwa na uchu wa madaraka yule Baba.Alitaka miungano huku yeye akiimpose ndo awe Rais.Kenya walimtolea nje.
akivuliwa ndipo utekaj utakoma ?ufisad utakoma ?Mimi huwa sipindishi maneno.
Yeyote yule akizingua nambadilikia.
Kwa ufupi Mimi sio muumini wa kudumu wa chama au kiongozi yeyote awe wa upinzani au wa chama Tawala.
Haya yote mnayoyaona kuwa hayako sawa ni matokeo ya utawala wa Mw. Nyerere.
Alikuwa hana uwezo wa kuona mbali, kwakuwa alitawala zama za ujinga na wajinga wakamwona kama nabii kumbe hamna kitu.
Nitoe mfano mmoja tu.
Unaunganishaje nchi yako Tanganyika na nchi nyingine Zanzibar kisha kuipoteza nchi yako ilhali mwenzako anayo nchi yake ikiwa safi kabisa?
Hata mwanangu Praise wa Darasa la pili hawezi kukubali kuchukua sahani yake ya ubwabwa kisha kuutia kwenye sahani nyingine na kumwambia mwenzake ambaye sahani yake iko na ubwabwa umejaa njoo tule, weka sahani yako pembeni utakula kwa wakati wako tule kwanza huu ubwabwa wetu.
Nitaweka picha kuelezea tukio hili la kijinga.
Nyerere avuliwe hadhi ya Baba wa Taifa na familia yake iondolewe baadhhi ya stahiki iwe fundisho kwa viongozi waliopo wajue kuwa kuna maisha baada ya uongozi.
A. Peter yuko na sahani yake ya ubwabwa.
View attachment 3504071
B. Juma yuko na sahani yake ya ubwabwa ametulia.
View attachment 3504072
C. Peter anakwenda kumshawishi Juma wachanganye ubwabwa wao. Peter anachanganyikiwa anamwaambia Juma ubwabwa wangu uwe wetu sote. Juma kakubali.
View attachment 3504073
D. Juma bado sahani yake ya ubwabwa ameikimbatia huku akiendelea kula vinono vya Peter.
View attachment 3504075
Akili zimeanza kukurudi eeh?Mimi huwa sipindishi maneno.

Nchi yeti ilivyosasa Nyerere na mchango mkubwa sana kwa yanayoendelea hivi sasa , Nyerere alilea maovu mengi na kulinda pia.Duh mtu kawaachia madaraka miaka zaidi ya 30, Bado mnataka kumlaumu tu kwa kushindwa kwenu kurekebisha mambo