NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,868
- 5,164
Mbona walishabadili sera zake mfano ujamaa,mambo ya azimio la Arusha na kwamba mtu haruhusiwi kupokea mishahara miwili,soko huria,njia kuu za uchumi kumilikiwa na umma.Bado unamlaumu Nyerere ambaye katika miaka 64 ya Uhuru alitawala miaka 24 tu. Walaumu watawala waliofuata kwa miaka 40, wamefanya nini kubadili sera zake
Sio kweli mkweli mkuu tutafuta tu siku mojaHiyo imeandikwa, hakuna kufuta, imetoka hiyo. Ni baba wa taifa forever
Tatizo aliloliacha nikubwa moja ya jaribio lililofanyika kurekebisha tatizo limeondoka na uhai wa zaidi ya watanganyika 13000Yaani bado mnamlaumu mtu kafa zaidi ya miaka 20 kwa hiyo mmeishiwa kabisa mbinu za kuweza kurekebisha hilo tatizo!?...haya mkimpoka hiyo hadhi ya baba wa taifa what's next?
Mtoa mada ni BWEGE kabisa halafu anaitwa Niko pamoja na SamiaYaani bado mnamlaumu mtu kafa zaidi ya miaka 20 kwa hiyo mmeishiwa kabisa mbinu za kuweza kurekebisha hilo tatizo!?...haya mkimpoka hiyo hadhi ya baba wa taifa what's next?
Wewe kama ni mwanaume ukishindwa kumto-mba mkeo bado utamlaumu Nyerere. Kizazi cha HOVYONiliwaza kama wewe but nikaona kweli nyerere alibugh sana ukichunguza muungano but napata tabu pindi anapoingia rais mkristo halafu anashindwa kurekebisha kero za huu muungano kwa katiba mpya ??!!yaani ukichunguza huyu mama amekaa kidogo tu karekebisha kero za zenji chap,na rais wa bara hajui siku moja atawekewa hata sumu na makamo kutoka zenji ili tena ijirudie tukio kama hili??!cha msingi ni marekebisho na katiba mpya na muungao uwe serikal tatu kila mtu apambane na upande wake hakuna kushare hata mjumbe wa nyumba kumi kila mtu acheze kwake
Sababu kubwa ilikuwa ni hofu ya vita. Wakati nyerere anachukua nchi hakuwa na jeshi wala nini pia kulikuwa na vugu vugu la vita ya tatu ya dunia. (Cold war kati ya ussr na nato) hivyo aliamin angeweza kupigwa na waarabu maana walifanya zanzibar kama sehemu ya uarabuni. Hivyo alihofia sana waarabu wanaweza kuja mda wowote ule coz of that situation. NaAlichokitaka yeye ni kuwa Rais wa JMT tu.Alikuwa na uchu wa madaraka yule Baba.Alitaka miungano huku yeye akiimpose ndo awe Rais.Kenya walimtolea nje.
Sababu za muungano zilikuwa za kibinafsi zaidi.Sababu kubwa ilikuwa ni hofu ya vita. Wakati nyerere anachukua nchi hakuwa na jeshi wala nini pia kulikuwa na vugu vugu la vita ya tatu ya dunia. (Cold war kati ya ussr na nato) hivyo aliamin angeweza kupigwa na waarabu maana walifanya zanzibar kama sehemu ya uarabuni. Hivyo alihofia sana waarabu wanaweza kuja mda wowote ule coz of that situation. Na
Unawashwa wewe๐๐๐Wewe kama ni mwanaume ukishindwa kumto-mba mkeo bado utamlaumu Nyerere. Kizazi cha HOVYO
Hilo nalo utamlaumu NyerereUnawashwa wewe๐๐๐
Lunch time.....hizo plate zimesababisha njaa iongezekeMimi huwa sipindishi maneno.
Yeyote yule akizingua nambadilikia.
Kwa ufupi Mimi sio muumini wa kudumu wa chama au kiongozi yeyote awe wa upinzani au wa chama Tawala.
Haya yote mnayoyaona kuwa hayako sawa ni matokeo ya utawala wa Mw. Nyerere.
Alikuwa hana uwezo wa kuona mbali, kwakuwa alitawala zama za ujinga na wajinga wakamwona kama nabii kumbe hamna kitu.
Nitoe mfano mmoja tu.
Unaunganishaje nchi yako Tanganyika na nchi nyingine Zanzibar kisha kuipoteza nchi yako ilhali mwenzako anayo nchi yake ikiwa safi kabisa?
Hata mwanangu Praise wa Darasa la pili hawezi kukubali kuchukua sahani yake ya ubwabwa kisha kuutia kwenye sahani nyingine na kumwambia mwenzake ambaye sahani yake iko na ubwabwa umejaa njoo tule, weka sahani yako pembeni utakula kwa wakati wako tule kwanza huu ubwabwa wetu.
Nitaweka picha kuelezea tukio hili la kijinga.
Nyerere avuliwe hadhi ya Baba wa Taifa na familia yake iondolewe baadhhi ya stahiki iwe fundisho kwa viongozi waliopo wajue kuwa kuna maisha baada ya uongozi.
A. Peter yuko na sahani yake ya ubwabwa.
View attachment 3504071
B. Juma yuko na sahani yake ya ubwabwa ametulia.
View attachment 3504072
C. Peter anakwenda kumshawishi Juma wachanganye ubwabwa wao. Peter anachanganyikiwa anamwaambia Juma ubwabwa wangu uwe wetu sote. Juma kakubali.
View attachment 3504073
D. Juma bado sahani yake ya ubwabwa ameikimbatia huku akiendelea kula vinono vya Peter.
View attachment 3504075
Leo umeandika ukweli mtupu.Mimi huwa sipindishi maneno.

Aliunda msingi mbovu, halafu anaitwa baba wa Taifa.Duh mtu kawaachia madaraka miaka zaidi ya 30, Bado mnataka kumlaumu tu kwa kushindwa kwenu kurekebisha mambo
Kama kweli mchakato wa katiba mpya unarudi basi hili liangaliwe upyaa. Ni either serikali moja, serikali 3 au kila mtu asepe kivyake tukutane EAC au SADC.