Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,546
Afrika na Dunia nzima inakiri kuwa Dr. JPM (Hayati) ndie kiongozi bora na mzalendo kwlikweli kuwahi kutokea katika karne ya ishirini na moja.
Ni rais pekee aliyethubutu kutoa maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania.
Katika awamu yake, alithubutu kukingia kifua raslimali za watanzania zilizokuwa zinachotwa na watu kwa manufaa ya makundi ya mafisadi wachache.
Laiti kama angekuwepo Ngorongoro isingeuzwa kwa waarabu wa Saudia.
Laiti kama angekuwepo ujenzi wa Bwawa la Nyerere lingekuwa limepiga hatua sana.
Laiti kama angekuwepo yungekuwa tumefika mbali sana watanzania.
#MAGUFULI #DAY 17/3 Kila mwaka...tutamkumbuka na kumuenzi mzalendo wa kweli na mchapa kazi.