Hayati Rais Magufuli: Kiongozi wa mfano Karne ya 21

Hayati Rais Magufuli: Kiongozi wa mfano Karne ya 21

Kwa Maana rahisi Uzalendo ni kuweka Maslahi ya Taifa mbele .JPM alionyesha uzalendo wa hali juu kabla na Baada ya kuwa Rais ,Kwake Nyeusi ilikuwa Nyeusi na Nyeupe ni Nyeupe
  • JPM aliipenda sana Tanzania kuliko kitu Chochote kile .
  • JPM alifanya kitu kwa ajili ya watanzania wengi sio kikundi cha Watu .
  • JPM alithubutu kushughulikia Mtu,Watu au kikundi Cha watu kinacho jaribu kuhujumu uchumi wa Nchi bila kuogopa .
  • JPM aliweza Shughulikia kila mtu anaetaka potosha wananchi wake au Kuwaonea bila Kuwaogopa
  • JPM aliweza kulinda Mali za Nchi kwa Nguvu zake zote bila kuogopa.

Kwa Kifupi aliipenda Nchi Yake sana ,Alifanya kazi kwa ajiri ya Watanzania sio kikundi cha Watu na aliwapenda sana watanzania .

Vijana Uzalendo ndio Huu .Kuna Cha kujifunza hapa .
Halafu akashughulikiwa yeye mwenyewe mbwa yule, Jambawazi, muuaji, Mwizi, dhulumati na sheitwani wahedi! Asante Mungu kwa kuamua Ugomvi na sasa Bahari imetulia!
 
Afrika na Dunia nzima inakiri kuwa Dr. JPM (Hayati) ndie kiongozi bora na mzalendo kwlikweli kuwahi kutokea katika karne ya ishirini na moja.

Ni rais pekee aliyethubutu kutoa maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania.

Katika awamu yake, alithubutu kukingia kifua raslimali za watanzania zilizokuwa zinachotwa na watu kwa manufaa ya makundi ya mafisadi wachache.

Laiti kama angekuwepo Ngorongoro isingeuzwa kwa waarabu wa Saudia.

Laiti kama angekuwepo ujenzi wa Bwawa la Nyerere lingekuwa limepiga hatua sana.

Laiti kama angekuwepo yungekuwa tumefika mbali sana watanzania.

#MAGUFULI #DAY 17/3 Kila mwaka...tutamkumbuka na kumuenzi mzalendo wa kweli na mchapa kazi.
Labda kama wewe ni mwanamke huo mfano uliona mkiwa chumbani akikukaza 😆😆
 
Back
Top Bottom