Hayati Rais Magufuli: Kiongozi wa mfano Karne ya 21

JPM alikuwa na uthubutu wa kuua upinzani kwa gharama yyt, iwe kwa kuwanunua wabunge na madiwani au kuwaua kabisa pale ilipobid kwakutumia kundi la WASIOJULIKANA na Noah nyeupe
Punguza hasira kijana
 
Kweli tukaanza kuona watu wakiokotwa kwenye viliba wengine wakipigwa risasi mchana kweupe wengine wakikimbia nchi na kuziacha familia zao, kama hiyo ndiyo maana ya uzalendo basi jpm alikuwa nzalendo namba li one
Hao walio kimbia Nchi washarudi ?
 
Ninachoshukuru kwenye maisha yangu ni kumshudia kiongizo mzalendo JPM ambaye wengi wetu tuliishia kuwasoma watu wa aina yake kwenye vitabu, mfano Nyerere, Sokoine Nkuruma nk. Hakika JPM alikuwa ni mwanamapinduzi kweli kweli.
 
Upuuzi mtupu
 
Ongeza hii. Jpm aliwaongezea umaskini watanzania kwa kutojua ashike kipi na aache kipi i.e alikuwa anapuyanga kila kitu
 
Aliongoza nchi kwa uongo mwingi eti tuna hela za kutosha kumbe anakopa mihela kimyakimya. Hakika mungu fundi Mana angeendelea na miaka mingine tungelimia meno wote Mana klla account ya mtu ingefikiwa na kufilisiwa
 
Ongeza haya:

Jpm hajaongeza mishahara kw miaka yote mitano ambapo ni mujibu wa Sheria
Jpm hajaajiri yeyote na alisitusha kabisa ajira tukawa tunarandaranda tu

Anetengeza wasomi wawe machinga nchi nzima
Ameua, ametesa na kunyanyasa vya kutosha

Alivuruga uchumi kiasi ambacho wawekezaji walikuwa wanahama nchi akiwemo mo lakini akatekwa

Alikuwa hajui kingereza ika alijua kudefine catalyst kila alipoenda.
Nk
 
Hakika mzalendo wa kuigwa. RIP JEMBE
 
Na usione kutulia kwa maji mkuu, maji hayajawahi kuwa mafupi haya.
Mbegu ilipandwa mioyoni na ili imee tayari mbolea na maji vipo, roho hizi hazitakufa katu
 
Ametuachia na bunge la kijani.
 
Bibi tozo kaongeza mishahara jambo ambalo liliwashinda wengi tena wengine walisema kabisa inchi ipo uchumi wa kati huku wanaichi tukikosa hata kufaidi huo uchumi wenyewe
 
For what? Ikiwa mwaka 1 tuu Samia kafunika Legacy yote
 

Alikuwa ni Rais mwenye maono, uzalendo na mwenye kutanguliza maslahi mbele ya taifa letu

Ama kwa hakika JPM ataishi mioyoni mwetu kwa miaka mingi sana
 
Reactions: RNA
..Vijana msiige ukatili wake.

..Vijana msiige ubaguzi wake.

..Vijana msiige kutokuheshimu katiba na sheria.

..Vijana msiige kusema uongo na kuzusha.

..Vijana msiige kuzungumza Kiswahili kisicho fasaha.

..Vijana msiige kuchukia Kiingereza.
 
Wewe una element za kifisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…