christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
'Characters zako zifuatazo zitanifanya niendelee Kukukumbuka, Kukupenda na Kukuona ulikuwa Rais bora Tanzania kwa Kizazi cha sasa na hata Kijacho
1. Hukuwa Mnafiki na Mwizi
2. Uliiamini zaidi Akili yako Kubwa
3. Hukuwa Muoga wa Kufa / Kuuwawa
4. Ulikuwa ni Mzalendo wa Vitendo
5. Hukulea Upumbavu na Upuuzi
6. Hukupenda kuletewa Ripoti za wana Kitengo na Kuridhika nazo bali nawe pia ulikuwa na namna yako ya kuyajua mengi ya Ndani na Nje ya nchi pengine kuliko hata Wao.
7. Uliwapenda ( Ulitupenda ) zaidi Masikini ( akina GENTAMYCINE ) kuliko Matajiri Mafisadi walioko wengi sana Serikalini na hata katika Chama chako Tawala.
Magufuli binafsi nakukumbuka na nitakukumbuka na kama kuna 'Clip' yako ambayo Kila nikiisikiliza tu lazima Machozi yanitoke ni ile uliyosema ( uliyotuambia ) Watanzania wote kuwa Ukifa tutakukumbuka na kututaka tukukumbuke kwa Mazuri yako tu Kwetu Wananchi na nchi ya Tanzania.
Kama Kiongozi ulikuwa na Ubabe nilioupenda pamoja na Ukatili kwa Maadui wa Tanzania yetu ila kwa sasa Upole na Huruma ndiyo Umetawala Tanzania huku Mafia na Mafisadi wachache wakiyarudia yale yale ya 2005-2015 yaliyoiharibu Tanzania yetu Kimaadili na Kizazi cha wakati huo.
R.I.P Hayati Rais wangu Dk. Magufuli.
Mfano wa hayo mengi mabaya aliyozushiwa ni yapi?Uzuri ni kwamba sikuwahi kuwa mnafiki juu ya kumkubali JPM since akiwa madarakani na sasa hayupo. Binadamu tuwe na tabia ya kumkubali mtu na mazuri yake pindi angalipo hai ili kumtia moyo kwa kile anachokifanya, kinyume chake wengi waliomvunja moyo JPM leo hii ndio wanamkumbuka kwa kasi.
Ukifuatilia kwa makini utagundua kila alichokifanya JPM kilikuwa ni kwa maslahi ya nchi na wananchi kwa ujumla, haijalisha kuna watu waliumia, kufilisika, kushuka vyeo au kupoteza madaraka. Badala yake alizushiwa mengi mabaya ili kuonekana hafai.
Subiri matusi kutoka kwa wenye mimba za chuki za Magufuli ambazo zimegoma kukomaa. Ila kadili siku zinavyo enda muda unaongea na utofauti unaonekana.'Characters zako zifuatazo zitanifanya niendelee Kukukumbuka, Kukupenda na Kukuona ulikuwa Rais bora Tanzania kwa Kizazi cha sasa na hata Kijacho
1. Hukuwa Mnafiki na Mwizi
2. Uliiamini zaidi Akili yako Kubwa
3. Hukuwa Muoga wa Kufa / Kuuwawa
4. Ulikuwa ni Mzalendo wa Vitendo
5. Hukulea Upumbavu na Upuuzi
6. Hukupenda kuletewa Ripoti za wana Kitengo na Kuridhika nazo bali nawe pia ulikuwa na namna yako ya kuyajua mengi ya Ndani na Nje ya nchi pengine kuliko hata Wao.
7. Uliwapenda ( Ulitupenda ) zaidi Masikini ( akina GENTAMYCINE ) kuliko Matajiri Mafisadi walioko wengi sana Serikalini na hata katika Chama chako Tawala.
Magufuli binafsi nakukumbuka na nitakukumbuka na kama kuna 'Clip' yako ambayo Kila nikiisikiliza tu lazima Machozi yanitoke ni ile uliyosema ( uliyotuambia ) Watanzania wote kuwa Ukifa tutakukumbuka na kututaka tukukumbuke kwa Mazuri yako tu Kwetu Wananchi na nchi ya Tanzania.
Kama Kiongozi ulikuwa na Ubabe nilioupenda pamoja na Ukatili kwa Maadui wa Tanzania yetu ila kwa sasa Upole na Huruma ndiyo Umetawala Tanzania huku Mafia na Mafisadi wachache wakiyarudia yale yale ya 2005-2015 yaliyoiharibu Tanzania yetu Kimaadili na Kizazi cha wakati huo.
R.I.P Hayati Rais wangu Dk. Magufuli.
Naomba niweke maswali au majibu juu ya hoja zako kama ifuatavyo;'Characters zako zifuatazo zitanifanya niendelee Kukukumbuka, Kukupenda na Kukuona ulikuwa Rais bora Tanzania kwa Kizazi cha sasa na hata Kijacho
1. Hukuwa Mnafiki na Mwizi
2. Uliiamini zaidi Akili yako Kubwa
3. Hukuwa Muoga wa Kufa / Kuuwawa
4. Ulikuwa ni Mzalendo wa Vitendo
5. Hukulea Upumbavu na Upuuzi
6. Hukupenda kuletewa Ripoti za wana Kitengo na Kuridhika nazo bali nawe pia ulikuwa na namna yako ya kuyajua mengi ya Ndani na Nje ya nchi pengine kuliko hata Wao.
7. Uliwapenda ( Ulitupenda ) zaidi Masikini ( akina GENTAMYCINE ) kuliko Matajiri Mafisadi walioko wengi sana Serikalini na hata katika Chama chako Tawala.
Magufuli binafsi nakukumbuka na nitakukumbuka na kama kuna 'Clip' yako ambayo Kila nikiisikiliza tu lazima Machozi yanitoke ni ile uliyosema ( uliyotuambia ) Watanzania wote kuwa Ukifa tutakukumbuka na kututaka tukukumbuke kwa Mazuri yako tu Kwetu Wananchi na nchi ya Tanzania.
Kama Kiongozi ulikuwa na Ubabe nilioupenda pamoja na Ukatili kwa Maadui wa Tanzania yetu ila kwa sasa Upole na Huruma ndiyo Umetawala Tanzania huku Mafia na Mafisadi wachache wakiyarudia yale yale ya 2005-2015 yaliyoiharibu Tanzania yetu Kimaadili na Kizazi cha wakati huo.
R.I.P Hayati Rais wangu Dk. Magufuli.
ππππππ'Characters zako zifuatazo zitanifanya niendelee Kukukumbuka, Kukupenda na Kukuona ulikuwa Rais bora Tanzania kwa Kizazi cha sasa na hata Kijacho
1. Hukuwa Mnafiki na Mwizi
2. Uliiamini zaidi Akili yako Kubwa
3. Hukuwa Muoga wa Kufa / Kuuwawa
4. Ulikuwa ni Mzalendo wa Vitendo
5. Hukulea Upumbavu na Upuuzi
6. Hukupenda kuletewa Ripoti za wana Kitengo na Kuridhika nazo bali nawe pia ulikuwa na namna yako ya kuyajua mengi ya Ndani na Nje ya nchi pengine kuliko hata Wao.
7. Uliwapenda ( Ulitupenda ) zaidi Masikini ( akina GENTAMYCINE ) kuliko Matajiri Mafisadi walioko wengi sana Serikalini na hata katika Chama chako Tawala.
Magufuli binafsi nakukumbuka na nitakukumbuka na kama kuna 'Clip' yako ambayo Kila nikiisikiliza tu lazima Machozi yanitoke ni ile uliyosema ( uliyotuambia ) Watanzania wote kuwa Ukifa tutakukumbuka na kututaka tukukumbuke kwa Mazuri yako tu Kwetu Wananchi na nchi ya Tanzania.
Kama Kiongozi ulikuwa na Ubabe nilioupenda pamoja na Ukatili kwa Maadui wa Tanzania yetu ila kwa sasa Upole na Huruma ndiyo Umetawala Tanzania huku Mafia na Mafisadi wachache wakiyarudia yale yale ya 2005-2015 yaliyoiharibu Tanzania yetu Kimaadili na Kizazi cha wakati huo.
R.I.P Hayati Rais wangu Dk. Magufuli.
Kama hakuogopa kuuawa wale wa tulikoambiwa tuende walikuwa wa nini?'Characters zako zifuatazo zitanifanya niendelee Kukukumbuka, Kukupenda na Kukuona ulikuwa Rais bora Tanzania kwa Kizazi cha sasa na hata Kijacho
1. Hukuwa Mnafiki na Mwizi
2. Uliiamini zaidi Akili yako Kubwa
3. Hukuwa Muoga wa Kufa / Kuuwawa
4. Ulikuwa ni Mzalendo wa Vitendo
5. Hukulea Upumbavu na Upuuzi
6. Hukupenda kuletewa Ripoti za wana Kitengo na Kuridhika nazo bali nawe pia ulikuwa na namna yako ya kuyajua mengi ya Ndani na Nje ya nchi pengine kuliko hata Wao.
7. Uliwapenda ( Ulitupenda ) zaidi Masikini ( akina GENTAMYCINE ) kuliko Matajiri Mafisadi walioko wengi sana Serikalini na hata katika Chama chako Tawala.
Magufuli binafsi nakukumbuka na nitakukumbuka na kama kuna 'Clip' yako ambayo Kila nikiisikiliza tu lazima Machozi yanitoke ni ile uliyosema ( uliyotuambia ) Watanzania wote kuwa Ukifa tutakukumbuka na kututaka tukukumbuke kwa Mazuri yako tu Kwetu Wananchi na nchi ya Tanzania.
Kama Kiongozi ulikuwa na Ubabe nilioupenda pamoja na Ukatili kwa Maadui wa Tanzania yetu ila kwa sasa Upole na Huruma ndiyo Umetawala Tanzania huku Mafia na Mafisadi wachache wakiyarudia yale yale ya 2005-2015 yaliyoiharibu Tanzania yetu Kimaadili na Kizazi cha wakati huo.
R.I.P Hayati Rais wangu Dk. Magufuli.
Rubbish and Nonsensical.Naomba niweke maswali au majibu juu ya hoja zako kama ifuatavyo;
1. Hukuwa Mnafiki na Mwizi
JE! UNAJUA ZILE 1.5T ZIPO WAPI HADI LEO?
JE! UNAJUWA HELA ZILIZOKUWA ZINAKUSANYWA KWA ILE KITU YA "PLI BAGEIN" ZIPO WAPI?
2. Uliiamini zaidi Akili yako Kubwa
NA HAPA NDO ALIHARIBU SANA. KITENDO CHA TANZANIA KUWA NA WATU 61M HALAFU WEWE PEKEE NDO UWE NA AKILI KUBWA NI UJINGA ULIOPITILIZA
3. Hukuwa Muoga wa Kufa / Kuuwawa
ALIPOKUWA ANASEMA MNIOMBEE, UNADHANI ULE HAUKUWA WOGA WA KUFA?
4. Ulikuwa ni Mzalendo wa Vitendo
HAKUWA MZALENDA, NA NDIYO MAANA HAKUMUAMINI MTU NA NDIYO MAANA HADI LEO HATUJUI ZILE 1.5T ZIPO WAPI
5. Hukulea Upumbavu na Upuuzi
UNAKOKUITA KUTOKULEA UPUMBAVU MDO KULITUGHARIMU SANA. FIKIRIA KITUO CHA MAFUTA CHA TOTAL PALE MLIMANI CITY DAR, ALIKIBOMOA NA MWISHO ALILIPA. KILA KITUO CHA MAFUTA MWANZA NACHO HIVYO HIVYO.
ANGALIA ALIOWATUMBUA. WALE WAKURUGENZI WA NSSF BAADA YA KUWATUMBUA, WALILIPWA MISHAHARA MWAKA MZIMA. HIVYO KUFANYA NAFAS MOJA ILIPWE MISHAHARA MIWILI. KWA MTUMBULIWA NA MTEULIWA
6. Hukupenda kuletewa Ripoti za wana Kitengo na Kuridhika nazo bali nawe pia ulikuwa na namna yako ya kuyajua mengi ya Ndani na Nje ya nchi pengine kuliko hata Wao.
NAMNA ALIYOITUMIA KUYAJUA MENGI HAIKUMSAIDIA. NA NDIYO MAANA LEO KUNA MAKOVU AMBAYO WALIOKO MADARAKANI SASA WANAYATIBU.
KUNA PADRE MMOJA, KWENYE KONGAMANO MOJA ALIUZA, HIVI TANZANIA TUNAFANYA UPATANISHO WA NANI KAKOROFISHANA NA NANI?
7. Uliwapenda ( Ulitupenda ) zaidi Masikini ( akina GENTAMYCINE ) kuliko Matajiri Mafisadi walioko wengi sana Serikalini na hata katika Chama chako Tawala.
ALIMCHUKIA MMOJA TU (LOWASA) NA KUMWANZISHIA MAHAKAMA YA MAFISADI..!! ILE MAHAKAMA MPAKA LEO IMEMFUNGA FISADI GANI?
KIFUPI MWANA ALIKUWA SIMBA WA YUDA
Idiot.ππππππ
Til.1.5 iko wapi?
Miradi kuongezwa Bei kubwa kukikonuhalisia mfano Bandari ya Tanga mradi bil.30 Dalali kapiga Bil.40.
Ufisadi wa kuweka pigment kwenye mafuta alikuwa anakula Nani?
Upigaji kwenye Makinikia,
Upigaji kwenye bwawa la Nyerere,
Upigaji TanRoada nk
Wizi wote huo ulioweka rekodi ilifanyika ndio spirit unaitaka? Achilia mbali ukatili ,uongo,kusingizia watu,kutukana na kudhalilisha watu na Kukosa akili..
Soma hapo chini π
Hongera π π πRubbish and Nonsensical.
Awamu hii naona mumenyooka Sasa mnatapatapa ππ.Idiot.
Nina mawazo tofauti sana na mtoa mada.
Kwangu kipindi kigamu na cha taabu basi ni hiko cha huyo mnaemsifia.
Ugumu wa maisha Tanzania ulianzia kwakwe.
Hakukua na ajira za kutosha serikalini, mbaya zaidi hta Yale makampuni na taasisi za watu binafsi zilizotoa ajira nyingi zilifungiwa. Hapo wengi walionja joto la jiwe kwa ugumu wa maisha.
fursa za kujiajiri zilikuwa finyu kutokana na mzunguko mdogo wa pesa. Kipindi hicho mtu kuingiza pesa ilikuwa ni ngumu Sana. Ukuaji wa miji na watu kujenga Kama zamani kulipungua kutokana na ugumu wa maisha, ila watu wamesahau tu.
Huyu bwana alipenda kujisifu kwa kile alichokifanya. Yaani kamradi kadogo tu basi ndio inakuwa wimbo wa kumsifu. Miradi mingi Kama UDOM, mwendo Kasi, daraja la kigamboni, barabara za mikoani, shule za kata, na miradi mingi sana haikujengwa kipindi chake lakini ilikuwa kimyaa yaani kama hakukua na kinachoendelea.
Uongozi ule ulikuwa una mambo ya kushangaza Sana. Yaani ajira za walimu 400 zikitangazwa basi inakuwa nayo ni sehemu ya kumsifu yeye. Nilikuja kuuchukia mara baana ya ajira flani kutoka lakini majina karibia nusu kuwa ni majina hewa. Yaani unaona namba ya shule ndio ile ile shule yako tena mwaka ndio ule ule uliomaliza lakini jina la aliepata kazi hata hulijui, tena ile namba yake haikuwepo kwenye list ya waliofanya mtihani pale. Yaani unakuta namba ya mwisho ilikuwa 75 lakini huyo mtu namba yake 508. AU MMESAHAU?.
Ona Sasa hivi mama anavyomwaga ajira, vyuoni, taasisi za umma, serikalini za mitaa na kwengineko tena bila kujisifu, just imagine ajira hizi ndio ingekwa kipindi kile ingekuwaje. Lakini kimya watu wanakula mema ya nchi. Na miradi ya nchi inaendelea.
Haikuwa rahisi kuona hata tangazo la kazi kwenye mfumo wa ajira, lakini ona Sasa? Tunafeli wenyewe tu.
Yule bwana amesababisha vijana wengi wakae mtaani bila kazi tena kwa muda mrefu sana.
Kuna mengi mema ameyafanya lakini si ndio awe rahisi Bora Tanzania.
NB: kwangu kiungozi Mh Samia Ni far more best than him
Naomba niweke maswali au majibu juu ya hoja zako kama ifuatavyo;
1. Hukuwa Mnafiki na Mwizi
JE! UNAJUA ZILE 1.5T ZIPO WAPI HADI LEO?
JE! UNAJUWA HELA ZILIZOKUWA ZINAKUSANYWA KWA ILE KITU YA "PLI BAGEIN" ZIPO WAPI?
2. Uliiamini zaidi Akili yako Kubwa
NA HAPA NDO ALIHARIBU SANA. KITENDO CHA TANZANIA KUWA NA WATU 61M HALAFU WEWE PEKEE NDO UWE NA AKILI KUBWA NI UJINGA ULIOPITILIZA
3. Hukuwa Muoga wa Kufa / Kuuwawa
ALIPOKUWA ANASEMA MNIOMBEE, UNADHANI ULE HAUKUWA WOGA WA KUFA?
4. Ulikuwa ni Mzalendo wa Vitendo
HAKUWA MZALENDA, NA NDIYO MAANA HAKUMUAMINI MTU NA NDIYO MAANA HADI LEO HATUJUI ZILE 1.5T ZIPO WAPI
5. Hukulea Upumbavu na Upuuzi
UNAKOKUITA KUTOKULEA UPUMBAVU MDO KULITUGHARIMU SANA. FIKIRIA KITUO CHA MAFUTA CHA TOTAL PALE MLIMANI CITY DAR, ALIKIBOMOA NA MWISHO ALILIPA. KILA KITUO CHA MAFUTA MWANZA NACHO HIVYO HIVYO.
ANGALIA ALIOWATUMBUA. WALE WAKURUGENZI WA NSSF BAADA YA KUWATUMBUA, WALILIPWA MISHAHARA MWAKA MZIMA. HIVYO KUFANYA NAFAS MOJA ILIPWE MISHAHARA MIWILI. KWA MTUMBULIWA NA MTEULIWA
6. Hukupenda kuletewa Ripoti za wana Kitengo na Kuridhika nazo bali nawe pia ulikuwa na namna yako ya kuyajua mengi ya Ndani na Nje ya nchi pengine kuliko hata Wao.
NAMNA ALIYOITUMIA KUYAJUA MENGI HAIKUMSAIDIA. NA NDIYO MAANA LEO KUNA MAKOVU AMBAYO WALIOKO MADARAKANI SASA WANAYATIBU.
KUNA PADRE MMOJA, KWENYE KONGAMANO MOJA ALIUZA, HIVI TANZANIA TUNAFANYA UPATANISHO WA NANI KAKOROFISHANA NA NANI?
7. Uliwapenda ( Ulitupenda ) zaidi Masikini ( akina GENTAMYCINE ) kuliko Matajiri Mafisadi walioko wengi sana Serikalini na hata katika Chama chako Tawala.
ALIMCHUKIA MMOJA TU (LOWASA) NA KUMWANZISHIA MAHAKAMA YA MAFISADI..!! ILE MAHAKAMA MPAKA LEO IMEMFUNGA FISADI GANI?
KIFUPI MWANA ALIKUWA SIMBA WA YUDA
Ukituliza kichwa una andika mambo ya maana sana π'Characters zako zifuatazo zitanifanya niendelee Kukukumbuka, Kukupenda na Kukuona ulikuwa Rais bora Tanzania kwa Kizazi cha sasa na hata Kijacho