Tetesi: Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!

Za ndani kabisaaaa😅😅😅
 
Huo ni mwanzo wa mwisho wa penzi mahusiano yao.

2027 mbali sana
 
Sio vema kupika habari mdogo wangu. Umaarufu wa jamiiforum usitafutwe kwa kupika habari za uongo. Hakuna kitu kama hiki kinaendelea. Mama Dangote asijue kijana wake wa pekee kuwa anaenda kutoa posa ujue wewe chakubimbi?
haaa haa, posa inapelekwa na wahuni, period
 
noted
 
Hivi penzi lako na Ali Kiba ilikuaje hadi ikawa "fukuza kunguru?"
 
Ukishaingia mkataba na kile chama, hutakiwi kuoa.
Hakuna ndoa
 
Mond Miyeyusho sana, huyu mtoto hata dumu nae.. pisi yangu hii
 
Toa hoja mipasho waachie wakina Khadija Kopa.
Chief, mbona swali langu limenyooka sana.
Mpasho umetoka wapi kwenye swali langu?
Haupendi kuolewa na staa!?
Au umeshaolewa? Kama umeshaolewa tusameheane mkongwe.
 
Chief, mbona swali langu limenyooka sana.
Mpasho umetoka wapi kwenye swali langu?
Haupendi kuolewa na staa!?
Au umeshaolewa? Kama umeshaolewa tusameheane mkongwe.
Pinga hoja ya mwenzako kwa hoja na si kuuliza maswali ya kipuuzi. Kama umeona maoni si sahihi ungetoa yako ambayo unaona ni sahihi. Kupinga hoja kwa maswali ni mipasho.
 
Hao wameoana kimya kmya kaka fatilia utajua
 
Huyu zuchu si wa aziz ki? Mbona gen z mnatuchanganya?
 
Pinga hoja ya mwenzako kwa hoja na si kuuliza maswali ya kipuuzi. Kama umeona maoni si sahihi ungetoa yako ambayo unaona ni sahihi. Kupinga hoja kwa maswali ni mipasho.
Mkongwe, unajua kusoma vizuri kweli!?
Wapi nimepinga hoja yako?
 
Mwendelezo ni kila Jumatano na Jumamosi kila wiki. Naitwa Jay Alchemist mwandishi toka Afrika Mashariki. Uongozi wa taifa za Afrika ndio hutufanya waafrika tuwe nyuma. Tunaitwa The Dark Continent. Kisa? Viongozi wetu ni walafi na kama mwandishi wangu kipenzi BEN R MTOBWA alivyoandika: Hawa wanafakamia mali ya umma kwa njaa ile ya umaskini. Baada ya shibe, wanaendelea kufakamia mali ya jamii ili wailinde shibe hiyo. Jiunge nami katika hii safari ya wazalendo wa Afrika. Tusome hii simulizi iitwayo: Serikali ya Wezi, Taifa La Waliodanganywa. Simulizi hii ni sehemu Kijasusi kama ile series ya Joram Kiango ya Ben Mtobwa sehemu ya Kimaisha na sehemu kubwa riwaya kama zile za Ken Walibora

Kesho ni Jumatano: endelezo la simulizi yetu yenye utani na uandishi wenye kipaji kama waandishi wetu watukufu wa Afrika Mashariki. Katikati ya saa 6pm-8pm EAT. Tutamwona binti mwenye mini anavyomtesa fisi mtaani!
 

Attachments

  • Jamii.jpg
    783.9 KB · Views: 3
  • Serikali ya Wezi Article.png
    782 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…