George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
😂😂😂Sasa kulikiwa na maana gani ya kuniuliza yale maswali? Acha kutafuta reactions na sifa kwa comments za kipuuzi.
Una wazimu wewe!
Niache kwenda kutafuta reactions kwa Elon Musk Nyamihela nitafute reactions humu kwa mganga njaa mwenzangu Maxence Melo?
Wewe kumsema mwenzako Zuchu kuwa yupo na Diamond kimaslahi sio kutafuta reactions!?
Ila mimi kukuhoji wewe kutokana na ulichokisema ndio imekuwa kutafuta reactions!?