George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
๐๐๐Sasa kulikiwa na maana gani ya kuniuliza yale maswali? Acha kutafuta reactions na sifa kwa comments za kipuuzi.
Mimi nimetoa maoni yangu ila wewe unatafuta reactions la sivyo usingeuliza haya maswali.๐๐Wewe kumsema mwenzako Zuchu kuwa yupo na Diamond kimaslahi sio kutafuta reactions!?
Ila mimi kukuhoji wewe kutokana na ulichokisema ndio imekuwa kutafuta reactions!?
Kwahiyo Diamond akuoe wewe?
Wewe ndio haupo kimaslahi, eti?
Tunapangiana maswali ya kuuliza?Mimi nimetoa maoni yangu ila wewe unatafuta reactions la sivyo usingeuliza haya maswali.๐๐
Maswali uliyouliza yamekaa kichokozi sana. Bora hata ungeniuliza kwanini "Zuchu yupo kimaslahi?"Tunapangiana maswali ya kuuliza?
Nimeuliza maswali kulingana na hayo maoni uliyotoa.
Otherwise useme haujayapenda maswali yangu.
haa haa haa jamanKwahiyo Diamond akuoe wewe?
Wewe ndio haupo kimaslahi, eti?
Ndoa ya kimkakati, Dai kashaona life span ya muziki wake inadecline.....na pesa ya muziki anaitaka....Pia Zuchu anamuingizia pesa nzuri.....
Anamuoa ili kumfunga asiondoke, pesa iendelee kuflow kwake.
DuhUkishaingia mkataba na kile chama, hutakiwi kuoa.
Hakuna ndoa
Hili tapeli la mapenzi litafanya uonekane muongo wewe mbea Nifah.
Haya maneno siyo mageni Mondi kuyasema. Ni marudio tuView attachment 3236796
Kaka ameshasema, tuendelee kunywa mtoriโฆ