Mara ngapi kama hata vyakula vikisogezwa mpakani ili vigawiwe lazima "mazayuni" yaombwe?Gaza will never be under IDF we bet....
Kwa niaba yao nasema "Mashaallah"!Kama hamjasikia vema naongeza kwa kusema "maisha-raha"!Safi sana. Nchi ya ahadi ni kwa ajili ya kizazi cha Yakobo. Tuwatakie safari njema watapata pahala pengine pa kuishi inshaallah. Wamwachie mwenye ardhi ardhi yake badala ya ubishi usio na sababu.
Mzayuni Atashindwa Hilo lipo tuwe na subira TU.Mara ngapi kama hata vyakula vikisogezwa mpakani ili vigawiwe lazima "mazayuni" yaombwe?
InshallahTunza maneno yako hayo mimi nitakukumbusha tu tumbę uzima!!!
Kama ambavyo wapalastaini wanavyopandishwa ndege na kuhamishwa kutoka Gaza?Mzayuni Atashindwa Hilo lipo tuwe na subira TU.
Uwe ni mwenye kusubir ndugu yanguKama ambavyo wapalastaini wanavyopandishwa ndege na kuhamishwa kutoka Gaza?
Haina ubaya wala ubwela ndugu.Ni mwenye subra miye!Uwe ni mwenye kusubir ndugu yangu
Wakibaki.magaidi inakuwa sehemu nzuri sana ya kujifunzia shabaha.Inakuwa mwendo wa kulenga makomwe na magoti ya magaidi tu.
Jamaa wanapasuliwa makomwe mashimoniMzayuni Atashindwa Hilo lipo tuwe na subira TU.
Kila gaidi anatembea na bakora ya kuzuia drone itakayomlenga komwe.Jamaa wanapasuliwa makomwe mashimoni
Kuna nukuu yoyote kutoka kwenye Quran kuhusu mazayuni kushindwa pale? Nataka kujifunza tuMzayuni Atashindwa Hilo lipo tuwe na subira TU.
Huyo mungu angekupa akiliHiyo ardhi Mungu aliwapa wana wa Yakobo anayebisha ni kiburi chake tu.