Sasa ndugu yangu ushindi maana yake nini labda unieleweshe maana ya ushindi ni katka vita nachojua ni kutimiza lengo lako Kwamba hakuna Tena tishio la kiusalama Kwa nchi Yako, hayo mambo ya makazi sidhani Kama yanashinda amani na Uhuru watu wanaoutafuta, kisecurity na kimedani mzayuni Bado hajatoboa Kwenye hii vita kikiubwa alicho kifanya ni kuua watu Kwa njaa Tena wasio fighters, fighters wanakula mara 1 Kwa siku lakini balaa lao ndio Kama unavyoona, asikwambie mtu IDF wamechoka mno na hii vita na ukisikia wameua ujue ni air force sio mwanajeshi kapambana kaua ni vile wamejichokea wanaona uvivu kupigana wanapiga redio call TU kituoni sambaza jengo f