Hayawi hayawi hatimaye wapalestina waanza kuondoka Gaza kwa hiari!!

Hayawi hayawi hatimaye wapalestina waanza kuondoka Gaza kwa hiari!!

Alishashindwa muulize mtu anayejua wewe hujui vita ni nini. Unapoingia vitani hakikisha mpinzani kanyenyua bendera nyeupe sasa
Si West bank wala gaza walioko surrender utasemamaje vita hio unashinda? Mpaka muda huu Gaza na west bank within 24 hrs 10 IDF and including settlers wameuawa au wewe unafuatilia hizi newz za echolima? Pole
Wewe ndugu ni mpotoshaji sana na muongo sana na wajinga utawapata sana na nikiwaambia ukweli hamuachi kulalamika sasa hapo umeongelea vitu gani? Wewe unajua vita? Ulishawahi kushiriki vita wewe?

Ninaposema wewe ni muongo na mpotoshaji nina maanisha kuwa wewe huna ushahidi wowote kudhibitisha hiyo with in 24 hrs 10 including settlers wanauwawa hizo hadithi za Abunuwas unazipata wapi? Je unajua thamani ya askari mmoja wa Israel ni sawa na waarabu 50 na raia wa Israel ni sawa na waarabu 30?

Ndiyo maana nimekuambia kaa kwa kutulia kama una habari ilete na vielelezo vyake siyo kubwabwaja uongo kama mlivyozoea na hakuna wa kuwahoji. Kwa taarifa yako safari hii mmepata wa kuwahoji mpaka mtaeleweka tu.

Hapa nimekuwekea watu walionyoosha bendera nyeupe sijui hapo utasemaje!! Jingine asijifanye unajua sana mambo ya vita wakati huna uzoefu wowote wa mambo hayo usitake kudharirisha fani za watu bure!! Kaa kwa kutulia!!!


View: https://x.com/verminusm/status/1904601090084999389?s=61

View: https://x.com/mossadil/status/1849161308601475102?s=61

View: https://x.com/afalkhatib/status/1904977427375235147?s=61
 
Back
Top Bottom