Husomi nachoandika Ungeshapata Jibu maana Ya Zonism? maana Wewe Ni Failure Wa Hatari....Acha kubwabwaja Nakuuliza mara ya mwisho unajua maana ya ZIONIST?
WEWE ni Nyokaa Tena Yule aliemshawishi Hawa kula Tunda... Huna Idea za Kuongea... Unaishi Uko Hujui hata maana Ya Zionist.... HUJUI,HUELEWI,UNADANGANYWA NA MEDIA, HUJUI NAN ANA CONTROL MEDIA UNAONGEA KAMA PIMBI TUUUU...Wewe kusema uongo inakusaidia nini? Mwezi wa pili sasa niko huku sijaona kubaguliwa na yeyote!! Kuna waarabu wengi tu wako Jeshini na kuna mmoja ni msemaji wa IDF wengine wabunge wewe unaeneza uongo tu huko!!!
EMPTY MIND SERIOUS HUNA AKILI,WE UNAIFAHAMU (AIPAC)NI NINI NA HIO (IDF)NI NINI?? 🙌🏾 UNA WAPAMBIA MAPAMBO ILA HUJUI CHOCHOTE HIVI WEWE NYOKAAA IDF INAONGOZWA NA NANI?Hayawi Hayawi Gaza will be free from Hamas terrorists waondoke tu ili wabaki hao vichwa ngumu wakione cha moto!!
Nawashangaa sana unasingizia “Walokole” kwenye hamna!!! Israel waendelee tu kuweka mbinyo kwa Magaidi mpaka kieleweke!,
Ungekuwa na uelewa ungeweza kuelezea na wengine tukafamu lakini umebaki kuuliza maswali uchwara tu na kuponda wengine bila kujibu hoja. Hii inaonyesha wazi umekaririshwa tu na wajinga wenzako!!EMPTY MIND SERIOUS HUNA AKILI,WE UNAIFAHAMU (AIPAC)NI NINI NA HIO (IDF)NI NINI?? 🙌🏾 UNA WAPAMBIA MAPAMBO ILA HUJUI CHOCHOTE HIVI WEWE NYOKAAA IDF INAONGOZWA NA NANI?
HAUJUI BIBILIA SIDHANI QURAN KAMA UNAIJUA...UNGEKUWA unajua maana yake ungeelezea lakini kwa sababu umekaririshwa ndiyo sababu ya wewe kuruka-ruka kama Maharage jikoni!!
sijaomnwa na mtu kuelezea sifanyi charity ya IdeasUngekuwa na uelewa ungeweza kuelezea na wengine tukafamu lakini umebaki kuuliza maswali uchwara tu na kuponda wengine bila kujibu hoja. Hii inaonyesha wazi umekaririshwa tu na wajinga wenzako!!
Unaongelea ISRAEL DEFENSE FORCE (IDF) MIMI NAONGELEA (AMERICAN ISRAEL PUBLIC AFFAIR COMMITTEE ) NDIO wanao Fund Israel yote Na Elewa Hivi YOUTUBE,GOOGLE,X,IG hukoo ni nyumbani kwao wewe unapewa taarifa ila husomi historiaUngekuwa na uelewa ungeweza kuelezea na wengine tukafamu lakini umebaki kuuliza maswali uchwara tu na kuponda wengine bila kujibu hoja. Hii inaonyesha wazi umekaririshwa tu na wajinga wenzako!!
Kama nani hao.Ni vigumu sasa hivi kumjua mwana wa Yakobo halisi bila kupima DNA. Unaweza kukuta wale unaodhani siyo wana wa Yakobo wakawa ndiyo wana wa Yakobo halisi.
Siku ukijua wapalestina ndiyo wafilisti unaachana na hayo maujinga jinga. Ilo taifa litakuwa mwiba kwa Israel. Sasa wewe pambana kuwa liwe zaidi ya mwiba ndiyo kinachotokea sasa baada ya Hamas kutaka kuwa zaidi ya mwiba.Hivi kumbe Hujaelewa Unamtupia Mpira palestine kisa😅 unajua vita imeanza Juzi?🧐 Alianzisha Vita ndio alioanzisha Zionist movement... Umem search Theodor Herlz mwanzilishi wa hio movemnt? Usinge ropoka Yeye Ndio aliowapa Motivation baadhi ya Wa Israel Kuwauwa palestine ikawa nikisasi.... Unadhani Palestine Ndo alianza Kumpiga Israel???
Israel iko chini ya UN ni state ambayo sawa inafahamika lakoni Hawafahmu wao kuua watu ilo wa exist sijui unaelewa... alfu ukweli unakera Ila Ndo ukweli sasa Mpaka SKU ISRAEL AEKE PANGA CHINI NDIO VITA ITAISHA unatakiwa uelewe.... Hata Msamah baba Aelewi mtoto wake kuuliwa Alfu 1200 ya wakina Nan? wa israel kundi lipi? usiseme wote taarifa za umbea Plestine Anapambana Na Zionist hivyo ndio ilivyo Benjamin Ni ZIONIST MWENYE KUWEZA KUSEMA FOUNDERS AIPC(AMERICAN ISRAEL PUBLIC COMMITTE)
twende bibilia hao ambao sio miba kwanini mungu aliwaahidi wataopigwa chapa ya Mbinguni ni Elfu4 Tu siusome UFUNUO WA YOHANA na MUNGU AKASEMA NA MAELFU NA MAELFU YA MATAIFA MENGINE NDIO YATAYOINGIA MBINGUNI HAYO.MAELFU UNADHANI WAFILISTI HAWAPO???Siku ukijua wapalestina ndiyo wafilisti unaachana na hayo maujinga jinga. Ilo taifa litakuwa mwiba kwa Israel. Sasa wewe pambana kuwa liwe zaidi ya mwiba ndiyo kinachotokea sasa baada ya Hamas kutaka kuwa zaidi ya mwiba.
Na Israel ufahamu wanasema Yesu alikuanafanya mazingaumbwe hivi unaelewa maana ya kuachiliwa Farasi wa Rangi Nyekundu Kama Ufuno Wa Yohana unavyosema? wewe huezi niambia siku nikijua akati ndizo ndoto zangu za usiku... FAHAMU HIV SIO KILA.MU ISRAEL ANAUNGANA NAKUPIGA MABOMB GAZA .... KUNA WAEBRANIA,WAFILISTI NA WAYAHUDI YESU ALITOKEA WAPI KATI YA HAPO NA JEWS NI KINA NANI??Siku ukijua wapalestina ndiyo wafilisti unaachana na hayo maujinga jinga. Ilo taifa litakuwa mwiba kwa Israel. Sasa wewe pambana kuwa liwe zaidi ya mwiba ndiyo kinachotokea sasa baada ya Hamas kutaka kuwa zaidi ya mwiba.
Unaruka mada kwenye mbingu hakuhusiani kwa taharifa yako. Kwenda mbinguni ni njia ya kila mtu anayefanya mapenzi ya Mungu. Ndiyo maana Yesu alisema njooni kwangu nyote. Pia akasema yeyote atakaye kunifuata na ajikane. Akutaje jamii fulani hapo. Umetaja chanzo Cha vita na blaa blaa tu. Ndiyo nikakwambia ukijua mpalestina ndiyo mfilisti ungeelewa kwanini hiyo vita ipo na itaendelea kuwepo. Misri aliambia Hawa wamisri mnaowaona Leo hawatainuka juu yenu milele. Akainuka na waarabu miaka ya sitini kilichowakuta wakakumbuka ahadi mpaka Leo wamejiweka pembeni sababu ya Ile ahadi. Na wafilisti Joshua aliambiwa watakua mwiba ndicho kinachoendelea hapo mashariki ya Kati nowtwende bibilia hao ambao sio miba kwanini mungu aliwaahidi wataopigwa chapa ya Mbinguni ni Elfu4 Tu siusome UFUNUO WA YOHANA na MUNGU AKASEMA NA MAELFU NA MAELFU YA MATAIFA MENGINE NDIO YATAYOINGIA MBINGUNI HAYO.MAELFU UNADHANI WAFILISTI HAWAPO???
Acha ujinga wewe unafikiria wote humu ni watu wa dini?HAUJUI BIBILIA SIDHANI QURAN KAMA UNAIJUA...
UFUNUO WA YOHANA SOMA KOTE UTAFAHAMU WATAOPIGA MUHURI WA MWENYEZI MUNGU KWA HAO WA ISRAEL NI 4000 TUUUU NIAMBIE ISRAEL WAKO WANGAPI MPKAA SASA NA MWENYEZI MUNGU HAJUI HESABU?? MKUUNACHA KUWA BIAS KUWA OPEN MINDED
Tupe chanzo cha Habari yako nashangaa wachangiaji wengi awajakushtulkia!!!!!!!!!!!!!!! Habari akuna chanzo imewekwa ndege tu huwiiiii !!!!!!!!Hayawi Hayawi Gaza will be free from Hamas terrorists waondoke tu ili wabaki hao vichwa ngumu wakione cha moto!!
Nawashangaa sana unasingizia “Walokole” kwenye hamna!!! Israel waendelee tu kuweka mbinyo kwa Magaidi mpaka kieleweke!,
Unakumbuka shuka wakati KUMEKUCHA!! Habari hii iko hapa tuko jumatano!! Mimi si Mpotoshaji kama nyie!!!Tupe chanzo cha Habari yako nashangaa wachangiaji wengi awajakushtulkia!!!!!!!!!!!!!!! Habari akuna chanzo imewekwa ndege tu huwiiiii !!!!!!!!
Ila akili zako!🤣Alishashindwa muulize mtu anayejua wewe hujui vita ni nini. Unapoingia vitani hakikisha mpinzani kanyenyua bendera nyeupe sasa
Si West bank wala gaza walioko surrender utasemamaje vita hio unashinda? Mpaka muda huu Gaza na west bank within 24 hrs 10 IDF and including settlers wameuawa au wewe unafuatilia hizi newz za echolima? Pole