Ilii Zionists wachukue Gaza, usitafute sababu nyingine ukumbuke kabla ya hao wajinga Kuleta Vita Palestine walioshi vizuri na wa kristo.na baadhi ya Jews walikuwa kabla ya Hio idea ya zionist movement, Hivi picture this Uko nchini kwako ila.kwasababu kuna Watu wanaojiona wanamamlaka kuliko.wewe hauwez kupita wala kunywa maji ya hapo.mpaka.uwe Jew.. Je Yeshua alipo letwa Na Yahweh duniani aliua au aliponya??? na ukumbuke Yahweh alimpa mamlaka.yote hapa Duniani na Niambie kwa Takwimu watoto wangapi wameuliwa Gaza?