Hayawi hayawi hatimaye wapalestina waanza kuondoka Gaza kwa hiari!!

Safi sana. Nchi ya ahadi ni kwa ajili ya kizazi cha Yakobo. Tuwatakie safari njema watapata pahala pengine pa kuishi inshaallah. Wamwachie mwenye ardhi ardhi yake badala ya ubishi usio na sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…