MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Unaambiwa unachokiona Gaza sio hata ukatili/brutal.Gaza will never be under IDF we bet....
Soma Quran 17: 4-8Kuna nukuu yoyote kutoka kwenye Quran kuhusu mazayuni kuahindwa pale? Nataka kujifunza tu
Allah wao yupo atawalinda magaidi wakeWakibaki magaidi inakuwa sehemu nzuri sana ya kujifunzia shabaha.Inakuwa mwendo wa kulenga makomwe na magoti ya magaidi tu.
Huwa upo serious? Ukiangalia Kwa jicho la kawaida Israel anashindwa hii vita?Mzayuni Atashindwa Hilo lipo tuwe na subira TU.
Alishashindwa muulize mtu anayejua wewe hujui vita ni nini. Unapoingia vitani hakikisha mpinzani kanyenyua bendera nyeupe sasaHuwa upo serious? Ukiangalia Kwa jicho la kawaida Israel anashindwa hii vita?
Huwa upo serious? Ukiangalia Kwa jicho la kawaida Israel anashindwa hii vita?
Hizo tafsiri zako za ushindi ni kiboko.Huna magego,umekatwa miguu na huna hata sehemu ya kuishi lakini umeshinda mpambano?🫸🫷😜😜😜😜Alishashindwa muulize mtu anayejua wewe hujui vita ni nini. Unapoingia vitani hakikisha mpinzani kanyenyua bendera nyeupe sasa
Si West bank wala gaza walioko surrender utasemamaje vita hio unashinda? Mpaka muda huu Gaza na west bank within 24 hrs 10 IDF and including settlers wameuawa au wewe unafuatilia hizi newz za echolima? Pole
Sasa ndugu yangu ushindi maana yake nini labda unieleweshe maana ya ushindi ni katka vita nachojua ni kutimiza lengo lako Kwamba hakuna Tena tishio la kiusalama Kwa nchi Yako, hayo mambo ya makazi sidhani Kama yanashinda amani na Uhuru watu wanaoutafuta, kisecurity na kimedani mzayuni Bado hajatoboa Kwenye hii vita kikiubwa alicho kifanya ni kuua watu Kwa njaa Tena wasio fighters, fighters wanakula mara 1 Kwa siku lakini balaa lao ndio Kama unavyoona, asikwambie mtu IDF wamechoka mno na hii vita na ukisikia wameua ujue ni air force sio mwanajeshi kapambana kaua ni vile wamejichokea wanaona uvivu kupigana wanapiga redio call TU kituoni sambaza jengo flan au tent flan ilihali ni kitendo Cha wao kufanya survalence na kufuata watu wanaohusikaHizo tafsiri zako za ushindi ni kiboko.Huna magego,umekatwa miguu na huna hata sehemu ya kuishi lakini umeshinda mpambano?🫸🫷😜😜😜😜
Kwa hiyo kule Gaza wapalastaini wana amani na wameshinda mapigano,siyo?Sasa ndugu yangu ushindi maana yake nini labda unieleweshe maana ya ushindi ni katka vita nachojua ni kutimiza lengo lako Kwamba hakuna Tena tishio la kiusalama Kwa nchi Yako, hayo mambo ya makazi sidhani Kama yanashinda amani na Uhuru watu wanaoutafuta, kisecurity na kimedani mzayuni Bado hajatoboa Kwenye hii vita kikiubwa alicho kifanya ni kuua watu Kwa njaa Tena wasio fighters, fighters wanakula mara 1 Kwa siku lakini balaa lao ndio Kama unavyoona, asikwambie mtu IDF wamechoka mno na hii vita na ukisikia wameua ujue ni air force sio mwanajeshi kapambana kaua ni vile wamejichokea wanaona uvivu kupigana wanapiga redio call TU kituoni sambaza jengo f
Mimi ninachokuleza hapa vita Bado inaendelea hakuna Alie shindaKwa hiyo kule Gaza wapalastaini wana amani na wameshinda mapigano,siyo?
NB;Tutumie maelezo mafupimafupi.
I second thatGaza will never be under IDF we bet....
Weka nukuu bro, mbona rahisi tu. Unaweka sura bila kunukuu kilicho andikwa? Mbona kama unakiogopa kitabu chako tena mkuu?Soma Quran 17: 4-8
Quran 17:8 .........Na mkirudia na sisi tutarudia....
NB: Quran ni Kwaajili ya wenye akili Quran 38:29
Mimi binafsi naunga mkono hao waarabu wapalestina kuondolewa mazima gaza yote iwe ni Israel tu ...muarabu muislamu siyo kiumbe cha kukichekea hata chembe....ilikuwa ni kosa kuwaacha wapalestina kwenye maeneo hayo kipindi waisrael walipo rudi kwenye nchi yao ya asili.Ndege kutoka Abu Dhabi ilitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Ramon huko Eilat Israel kuchukua Wagaza 600 kama sehemu ya mradi wa uhamiaji wa hiari.
Gaza wanatakiwa wabakie Magaidi tu ili wafyekwe vizuri!!
Siyo kweli gaza yote itakuwa Israel 100%Gaza will never be under IDF we bet....
Then wanahitajika kuua Hamas wote 100%Siyo kweli gaza yote itakuwa Israel 100%
Swala la kuua hamas ni hot cakeThen wanahitajika kuua Hamas wote 100%
That's the equation should be solved with clear conclusions, lakini nachokiona sijui labda Mimi sijui kitu chochote their solving it wrong the world will prove me wrong in future...Swala la kuua hamas ni hot cake