Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Israel imedhamiria kuifuta Hamas Gaza, viongozi wa Hama's waendelee kula Kuku tu Dubai huku wanawaponza wenzao Nyumbani.Hakuna mtu siye mgonjwa ataenda kuhifadhi hospitali, raia wanaokimbia vita hawaendi hosp. Hao ni magaidi ndo wamejificha humo,
Huyo Dr naye atakuwa mshirika wa Hamas. Nimemuona aljazira akisema atakaa na wagonjwa hadi mwisho, mwisho umeshafika ,ajiandae tu.