Hayawi hayawi huwa; Makomando wa IDF waanza kuingia kwenye hospitali, mpambano unaendelea

Hayawi hayawi huwa; Makomando wa IDF waanza kuingia kwenye hospitali, mpambano unaendelea

Maneno mengi ya nn wanacho takiwa ni kuonesha hayo mahandaki na mateka walio dai kuwa walikuwa ndani ya hospital hiyo.
Umekuwa mpole na umeamua kung'ang'ania hii point moja.Zile propaganda za IDF waoga na hawawezi thubutu kuingia Gaza ni vizuri umeachana nazo baada ya uhalisia kuonekana.
 
Back
Top Bottom