Hayawi hayawi huwa; Makomando wa IDF waanza kuingia kwenye hospitali, mpambano unaendelea

Hayawi hayawi huwa; Makomando wa IDF waanza kuingia kwenye hospitali, mpambano unaendelea

Nilimuona dw yule daktari nikampuuza kwa maelezo yake tu unajua kuwa Ni mshirika wa Hamas
Maneno mengi ya nn wanacho takiwa ni kuonesha hayo mahandaki na mateka walio dai kuwa walikuwa ndani ya hospital hiyo.
 
Hayo maneno ungewaambia waislamu waarabu na chuki zao dhidi ya jews and Christian
Vipi Mkuu mateka na viongozi wa Hamas mlio tuambia kuwa wako ndani ya hospital wamesha kamatwa?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hamas walikosea Sana kuwaua wapalestina waliokuwa wanakimbia Al Shifa. Hili suala limewachafua Sana.
Wachafu wanachafuka tena!! Hao ni wachafu hata kabla hawajachukua madaraka kuua na kutesa raia kubaka kuchinja kuburuta maiti za wanawake mitaani na kila ushetani, ni majangili tu
 
Vipi Mkuu mateka na viongozi wa Hamas mlio tuambia kuwa wako ndani ya hospital wamesha kamatwa?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wakae kusubiri kukamatwa?!! Lazma wakimbie kama kawaida ya wezi na wahalifu wowote wanavyofanya mwisho watadakwa kama Osama alivyokimbia Torabora Afghanistan mwisho akadakwa kajificha kama panya Pakistan au Saddam alivyochimbiliwa shimoni kama muhogo au kiazi, za mwizi arobaini.
 
Israel inataka kusafisha kila gaidi hata kama itaua na mateka wao.
Mkuu hawa walishasema ua mmoja wetu tutaua 100 huko kwenu hili Nyau alisema zamani sana kabla ya tar 7oct,
Sasa hao kobaz wakarusha kombora zao wameua 500×100?=5000
hesabu wenzao ikasemekana 100×100=10,000
Idadi 10,000 Gaza mauaji imefika na zaidi.
Sasa hapo nani kaumia.
Akili za madrasa hawa wenzetu sijui wanatoa wapi.
Nadhani hata hesabu kwao ngumu
 
Wakae kusubiri kukamatwa?!! Lazma wakimbie kama kawaida ya wezi na wahalifu wowote wanavyofanya mwisho watadakwa kama Osama alivyokimbia Torabora Afghanistan mwisho akadakwa kajificha kama panya Pakistan au Saddam alivyochimbiliwa shimoni kama muhogo au kiazi, za mwizi arobaini.
Lakini mlisema wamezingirwa na hawawezi kwenda popote na vipi chumba cha comand na chenyewe wamekibeba na kuondoka nacho?
 
Hama's ndio adui mkuu wa Wapalestina.

Haya yote ni majibu ya upuuzi walioufanya September 7.

Inaonekana mwezi September unapendwa na magaidi wa kiislamu kuuwa watu wasiokuwa na hatia.
Hii ilikuwa oktoba 7
 
Kwan hiyo hospital ina ukubwa gan kieneo mpaka jeshi la wateule wanatumia muda mwingi kufanya usafishaj???
Ni kubwa sana,chini tunnel umeonyeshwa jamaa wanapozama wanatokea mbele huko kuna ma ghorofa makubwa tu.
Ni ka kijiji chao.
Usitetee ujinga aisee,hii issue imefanya wengine wapitie majuto kwaajili ya hao watu waliochokoza wenzao huko.
 
Doha, Qatar kwenye kiyoyozi wakiwa wamezungukwa na bebez wa kiarabu
Wapigania Allah katika ubora wao. Hao wazee kina Ismail haniya na genge lake wao hawataki kuwahi wale mabikra 72 kule Jannah kabisa.
 
Hayo maneno ungewaambia waislamu waarabu na chuki zao dhidi ya jews and Christian
Kwa kuzingatia aina ya story unazotuandikia humu jamvin nilitegemea lingekua funzo kwetu kujizuia kutoshabikia vurugu zenye milengo ya kubaguana kidin,kikabila,kiukoo na vinginevyo kutokana na madhara yaliyosababishwa na aina hiyo ya ubaguz

Na kwa vile wew hayo unayajua zaid kuliko sis ungekua baloz mzur mno
 
Ni kubwa sana,chini tunnel umeonyeshwa jamaa wanapozama wanatokea mbele huko kuna ma ghorofa makubwa tu.
Ni ka kijiji chao.
Usitetee ujinga aisee,hii issue imefanya wengine wapitie majuto kwaajili ya hao watu waliochokoza wenzao huko.
Upo sahih hatupasw kutetea ujinga na ndio maana tunapaswa tufatilie mzozo kabla ya tukio la trh7 ili kujua kilichopelekea mpaka Hamas wakachukua hayo maamuz
 
Vipi Mkuu mateka na viongozi wa Hamas mlio tuambia kuwa wako ndani ya hospital wamesha kamatwa?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu ulitegemea Hamas wakae hapo shifa na mateka🤣🤣🤣
 
Kwa kuzingatia aina ya story unazotuandikia humu jamvin nilitegemea lingekua funzo kwetu kujizuia kutoshabikia vurugu zenye milengo ya kubaguana kidin,kikabila,kiukoo na vinginevyo kutokana na madhara yaliyosababishwa na aina hiyo ya ubaguz

Na kwa vile wew hayo unayajua zaid kuliko sis ungekua baloz mzur mno
Ukiwa kwenye circle utaelewa.
Nini maana ya neno*Utumbuzi wa hisia ili kuelewa akili za watu** na kutimiza majukumu.
 
Mkuu ulitegemea Hamas wakae hapo shifa na mateka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si zaidi ya wiki nzima mnatambia wamezingirwa na hawana pakutokea?

Alafu siku hizi mitambo ya Comand ni masink ya vyoo na lift?
 
Back
Top Bottom