Hayawi hayawi huwa; Makomando wa IDF waanza kuingia kwenye hospitali, mpambano unaendelea

Hayawi hayawi huwa; Makomando wa IDF waanza kuingia kwenye hospitali, mpambano unaendelea

Hao wanawake pia itakuwa hamas.......maana kama yeye anajificha anategemea nini??

Ni wake zao hamas ndiyo maana hukuti mwanaume hapo, wao hamasi wamejificha kwenye mashimo yaliyo chini ya hospitali.
 
Hakuna mtume anaye itwa mudi bali mudi ni jina la hawala wa mama yako na ndio maana unapenda sana kulitaja maana ni jina la baba yako wa kambo.

Naongelea muhamadi pedophilia. Una lingine nikuweke sawa.
 
Israel inashambulia kwa ndege kuzunguka maeneo ya hospital na maeneo mengine ya Gaza,wameingia hospital wanapiga risasi na mizinga,hawajakutana na chochote zaidi ya vifaa tiba
Kwahiyo wanapiga mizinga vifaa tiba. Hamjasema yaani mpaka msemeeee
 
Kwan hiyo hospital ina ukubwa gan kieneo mpaka jeshi la wateule wanatumia muda mwingi kufanya usafishaj???
 
Kwan hiyo hospital ina ukubwa gan kieneo mpaka jeshi la wateule wanatumia muda mwingi kufanya usafishaj???
Sasa hivi yapo bize yana tengeneza video za propaganda ili kuepuka aibu.
 
Nilimuona dw yule daktari nikampuuza kwa maelezo yake tu unajua kuwa Ni mshirika wa Hamas
Hakuna mtu siye mgonjwa ataenda kuhifadhi hospitali, raia wanaokimbia vita hawaendi hosp. Hao ni magaidi ndo wamejificha humo,
Huyo Dr naye atakuwa mshirika wa Hamas. Nimemuona aljazira akisema atakaa na wagonjwa hadi mwisho, mwisho umeshafika ,ajiandae tu.
 
Hamas walikosea Sana kuwaua wapalestina waliokuwa wanakimbia Al Shifa. Hili suala limewachafua Sana.
Hamas wameachwa peke yako wapokee kibano cha Israel , nchi zote za kiarabu hakuna Hata mmoja inataka kusumbuana na vita na Israel , wapo bize kushughulikia matatizo yao .
Hata vikundi vya Hezbula na houth havina Hamu ya kusaidia hamas ikumbukwe wakati wa vita ya Syria hamas aliunga mkono isis na Hezbula wakaunga mkono serikali ya Syria .
Waarabu ni wanafiki sana , viongozi wao watatoa matamko makali na mikwara mingi lakini nyuma ya pazia wametulia .
 
Hama's ndio adui mkuu wa Wapalestina.

Haya yote ni majibu ya upuuzi walioufanya September 7.

Inaonekana mwezi September unapendwa na magaidi wa kiislamu kuuwa watu wasiokuwa na hatia.
Mkuu, Ni tarehe 7 October 2023.
 
Huyo Dr naye atakuwa mshirika wa Hamas. Nimemuona aljazira akisema atakaa na wagonjwa hadi mwisho,
Nayeye mmoja wao nyau huyo,anamaanisha hao Hamas ndio wagonjwa sio wale wa kawaida kipigo kinaendelea
 
Nyama kidogo mkuu kwenye hili. Inamaana jamaa walianza kuwalamba Shaba wenzao?
Naam. Yan ni kama kusema: ww unakimbia ss unatuachaje? Kumbuka hospitalini wapo wagonjwa mahututi na vichanga lakini mara paap! anachomoka humo "Mgonjwa" mwenye nguvu na anakimbia fasta. Huyo ni msaliti kwani magaidi (HAMAS) walikubaliana: No retreat no surrender wote tujichanganye humu na tujifanye wagonjwa hapa Hospitalini.
 
Nimesoma heading yako nikaona huna ufahamu wowote wa kinachoendelea kwenye hiyo vita
Sana sana umeposti kuonesha Chuki yako juu ya Waislam Kitu ambaacho sio sawa.
Nakushauri utumie muda kidogo kutafuta habari ujue kutofautisha kati ya Hamas, Waislam na Wapalestina na Jewish (waisrael)
Hayo maneno ungewaambia waislamu waarabu na chuki zao dhidi ya jews and Christian
 
Back
Top Bottom