Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa utaratibu wa walutheri alianza na ibada ya kuwarudisha kundini kwanzaDaahh, Tulioneshwa Junior anachukungulia mlango sasa ndio ndoano inafuata...
Huyu mfungisha ndoa na hili kanisa linabariki ndoa ya namna hii...!!
Enewei, maharusi karibuni chamani!
Watu wanaolewa na mimba ila hii ya nandera kiboko 😀😀😀
Mnoooooh, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Wakati anaenda Kanisani alikua kama hana raha nadhani alikua nervous, ila ukumbini alichangamka sana, nilikua nakenua mwanzo mwisho, i'm so happy for them,
Perfomance ya Alikiba na Marioo was fireeeeeee
Kuna ndoa moja ya upande wa pili na hii, walipoona mambo yameharibika wakaamua wafunge ndoa ili kuficha mambo. Mimba ilikuwa ya miezi 5.Kwa utaratibu wa walutheri alianza na ibada ya kuwarudisha kundini kwanza
Kuhusu Nandy kumpenda mchizi nakubali maana Kuna interview yao niilicheki Nandy na Billnas Demu anajitahidi Sana kushow love jamaa ni Kama hajali hivi..na ukweli kwenye ndoa mwanamke akimpenda Sana Mwanaume itadumu kwa sababu atamtii.Kuanzia michupi ,jasiri mpk hapo walipofikia,wanastahiki kuoana..
Ndoa ya kwanza ya wasanii bongo kunivutia ni hii,naiona kabisa Haina drama Wala kiki au malipizi...
Nandy anampenda Willy kwa mapenzi kabisaa
Usikute Junior alianza kumpiga matekeYah!!!App Inatutesa mno...ila tunakomaa nayo tu hivyo hivyo..
Umeona Nandy alivyolia wakati wa kula kiapo? Hadi nimelia na mimi[emoji26][emoji26]
Mkuu kumuoa mwanamke Kuna mengi zaidi unaweza ukaoa mwanamke Wala sio mrembo lakini Kuna kitu kidogo tu ukanasa..au ukamuoa maarufu na mrembo hasa na watu wakamuogopa Ila pia Kuna ishu ndogo tu mtoto akawa Hana sauti kwako na ukaoa.Nauliza Nenga amefata nini kwa Nandy
Mkuu Mimi nikiona mtu anashangaa mtu kua na Virusi vya ukimwi namshangaa Sana kwa sababu ni Ugonjwa unampata yeyote kwa mazingira yoyote,.unaweza ukatulia ukaletewa na mwenza wako nk.Nilipewa mkeka m1 huo. Duh had mke wa mmakonde yumo ndani.. sepenga. Ndani. Jide ndan. Gadna ndani.. prof jize ndan. Aisee ni balaa.. naomba niishie hapa.. grid ya ukweli. Zama yumo.. mke wa romy jons ndani. Romi jons ndani.. hatar
Ila hiyo nguo aliyovaa chenga imemchora sana
Ila hiyo nguo aliyovaa chenga imemchora sana
Aya ustaaa kazi Ila la msingi imepita salama kila la kheri kwao wazikane.Naona alipania shughuli kuiweka kistaa zaidi na pia anaiga style ya rihanna kuweka tumbo nje muda wote.
Aya ustaaa kazi Ila la msingi imepita salama kila la kheri kwao wazikane.
Kuhusu Nandy kumpenda mchizi nakubali maana Kuna interview yao niilicheki Nandy na Billnas Demu anajitahidi Sana kushow love jamaa ni Kama hajali hivi..na ukweli kwenye ndoa mwanamke akimpenda Sana Mwanaume itadumu kwa sababu atamtii.
NB:kutokana na ugumu wa ndoa naona Nandy akiondoka kwenye gemu la mziki very soon au atashuka mno maana ndoa itambana kufanya ya nyuma
NC wangemuweka gara b,,,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu aunt kavurugwa wallah. Khaaaah.
Sherehe nzuri, ila MC kaharibu, ameniboa mnooo
Yeah hata wewe uko sawa kuzika nilikua namaanisha kifo kuwatenganisha.duh hii kuzikana tena. Ya Mungu mengi wanaweza ondoka pamoja ni kuwaombea maisha mema. Ustaa wauache nje ya geti la kuingilia nyumbani kwao. Maelewano na heshima muhimu
Sawa mkuu..Ila point yangu nimesema kwa Sasa Nandy ameshakua mke wa mtu Kuna vitu lazima atashindwa kuvifanya hivyo vitaporomosha mziki wake labda Mzee William awe Junior kwenye hiyo ndoa na awe mtu wa kuchukulia poa.Ungejua billnass ndie muandishi wa nyimbo za nandy.
Toka ruge amefariki Nandy amepanda juu kimziki kwa kasi sana maana billnass alirudi kuanza kumuandikia tena.
Watu wa rap wanajua sana kuandika nyimbo za kuimba. Nandy anajua msaada wa billnass kwake na bila yeye atapotea kama ruby sokoni. Maana ruby hana wa kumuandikia nyimbo nzuri.
Diamond anatawala sana mziki sababu alianza kwenye kurap. Aliamia kwenye kuimba sababu ndipo kuna hela na wateja wengi wa biashara ya mziki.
Sawa na Ray vanny alianza kwenye kurap na anajua sana kurap. Kuandika nyimbo za kuimba ni rahisi sana
Zuchu anaandikiwa nyimbo ndio maana anatoa nyimbo nzuri daily.
Hahaaaaa.....kwamba???Nutarud baada ya miaka miwili panapo uzima
Kwa sasa siwez comment chochote
Huyo jamaa nasikia ratiba yake hua finyu Sana anapiga hela mbaya yaani mwezi mzima bize tu.NC wangemuweka gara b,,,,