Hayawi hayawi yamekuwa, Bilinass na Nandy wafunga ndoa tar 16/7/2022 katika kanisa la KKKT Mbezi Beach

Hayawi hayawi yamekuwa, Bilinass na Nandy wafunga ndoa tar 16/7/2022 katika kanisa la KKKT Mbezi Beach

Daahh, Tulioneshwa Junior anachukungulia mlango sasa ndio ndoano inafuata...

Huyu mfungisha ndoa na hili kanisa linabariki ndoa ya namna hii...!!

Enewei, maharusi karibuni chamani!
Kwa utaratibu wa walutheri alianza na ibada ya kuwarudisha kundini kwanza
 
Wakati anaenda Kanisani alikua kama hana raha nadhani alikua nervous, ila ukumbini alichangamka sana, nilikua nakenua mwanzo mwisho, i'm so happy for them,

Perfomance ya Alikiba na Marioo was fireeeeeee
Mnoooooh, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kwa utaratibu wa walutheri alianza na ibada ya kuwarudisha kundini kwanza
Kuna ndoa moja ya upande wa pili na hii, walipoona mambo yameharibika wakaamua wafunge ndoa ili kuficha mambo. Mimba ilikuwa ya miezi 5.

Wakati wa kufunga ndoa kuna session ya mawaidha, mfungisha ndoa alipooanza kuusia akaanza kukemea watu wanaozaa nje ya ndoa/wanaofanya uzinifu kabla ya ndoa. Watu wakabaki kuguna tu huku wakiendelea kusubiri mawaidha yaishe wale ubwabwa.
 
Kuanzia michupi ,jasiri mpk hapo walipofikia,wanastahiki kuoana..
Ndoa ya kwanza ya wasanii bongo kunivutia ni hii,naiona kabisa Haina drama Wala kiki au malipizi...
Nandy anampenda Willy kwa mapenzi kabisaa
Kuhusu Nandy kumpenda mchizi nakubali maana Kuna interview yao niilicheki Nandy na Billnas Demu anajitahidi Sana kushow love jamaa ni Kama hajali hivi..na ukweli kwenye ndoa mwanamke akimpenda Sana Mwanaume itadumu kwa sababu atamtii.

NB:kutokana na ugumu wa ndoa naona Nandy akiondoka kwenye gemu la mziki very soon au atashuka mno maana ndoa itambana kufanya ya nyuma
 
Nauliza Nenga amefata nini kwa Nandy
Mkuu kumuoa mwanamke Kuna mengi zaidi unaweza ukaoa mwanamke Wala sio mrembo lakini Kuna kitu kidogo tu ukanasa..au ukamuoa maarufu na mrembo hasa na watu wakamuogopa Ila pia Kuna ishu ndogo tu mtoto akawa Hana sauti kwako na ukaoa.

Siri ya Bibi harusi anayo Bwana harusi
 
Nilipewa mkeka m1 huo. Duh had mke wa mmakonde yumo ndani.. sepenga. Ndani. Jide ndan. Gadna ndani.. prof jize ndan. Aisee ni balaa.. naomba niishie hapa.. grid ya ukweli. Zama yumo.. mke wa romy jons ndani. Romi jons ndani.. hatar
Mkuu Mimi nikiona mtu anashangaa mtu kua na Virusi vya ukimwi namshangaa Sana kwa sababu ni Ugonjwa unampata yeyote kwa mazingira yoyote,.unaweza ukatulia ukaletewa na mwenza wako nk.

Hivyo sio ajabu mkuu nashukuru Mungu wewe upo mzima na uwaombee waliokwama M/Mungu awape subira na afya.
 
duh hii kuzikana tena. Ya Mungu mengi wanaweza ondoka pamoja ni kuwaombea maisha mema. Ustaa wauache nje ya geti la kuingilia nyumbani kwao. Maelewano na heshima muhimu
Aya ustaaa kazi Ila la msingi imepita salama kila la kheri kwao wazikane.
 
Kuhusu Nandy kumpenda mchizi nakubali maana Kuna interview yao niilicheki Nandy na Billnas Demu anajitahidi Sana kushow love jamaa ni Kama hajali hivi..na ukweli kwenye ndoa mwanamke akimpenda Sana Mwanaume itadumu kwa sababu atamtii.

NB:kutokana na ugumu wa ndoa naona Nandy akiondoka kwenye gemu la mziki very soon au atashuka mno maana ndoa itambana kufanya ya nyuma

Ungejua billnass ndie muandishi wa nyimbo za nandy.

Toka ruge amefariki Nandy amepanda juu kimziki kwa kasi sana maana billnass alirudi kuanza kumuandikia tena.

Watu wa rap wanajua sana kuandika nyimbo za kuimba. Nandy anajua msaada wa billnass kwake na bila yeye atapotea kama ruby sokoni. Maana ruby hana wa kumuandikia nyimbo nzuri.

Diamond anatawala sana mziki sababu alianza kwenye kurap. Aliamia kwenye kuimba sababu ndipo kuna hela na wateja wengi wa biashara ya mziki.

Sawa na Ray vanny alianza kwenye kurap na anajua sana kurap. Kuandika nyimbo za kuimba ni rahisi sana

Zuchu anaandikiwa nyimbo ndio maana anatoa nyimbo nzuri daily.
 
duh hii kuzikana tena. Ya Mungu mengi wanaweza ondoka pamoja ni kuwaombea maisha mema. Ustaa wauache nje ya geti la kuingilia nyumbani kwao. Maelewano na heshima muhimu
Yeah hata wewe uko sawa kuzika nilikua namaanisha kifo kuwatenganisha.
 
Ungejua billnass ndie muandishi wa nyimbo za nandy.

Toka ruge amefariki Nandy amepanda juu kimziki kwa kasi sana maana billnass alirudi kuanza kumuandikia tena.

Watu wa rap wanajua sana kuandika nyimbo za kuimba. Nandy anajua msaada wa billnass kwake na bila yeye atapotea kama ruby sokoni. Maana ruby hana wa kumuandikia nyimbo nzuri.

Diamond anatawala sana mziki sababu alianza kwenye kurap. Aliamia kwenye kuimba sababu ndipo kuna hela na wateja wengi wa biashara ya mziki.

Sawa na Ray vanny alianza kwenye kurap na anajua sana kurap. Kuandika nyimbo za kuimba ni rahisi sana

Zuchu anaandikiwa nyimbo ndio maana anatoa nyimbo nzuri daily.
Sawa mkuu..Ila point yangu nimesema kwa Sasa Nandy ameshakua mke wa mtu Kuna vitu lazima atashindwa kuvifanya hivyo vitaporomosha mziki wake labda Mzee William awe Junior kwenye hiyo ndoa na awe mtu wa kuchukulia poa.
 
Back
Top Bottom