Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
😲Asee huu upepo umezoa sanaa watoto wetu wa kiume.
Na hivi juzi juzi tuu wanafunzi wa IFM wamechapana paip...
Acha tuonee
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Si afadhali ingekuwa tangazo inadaiwa mshikaji wali nazi huyoSi unataka pesa kijana,hebu fanya katangazo hako kadogo,usiwaze kuhusu noti......
Mama amefungulia nchi wakuu
Nasikia kuna.kontena kumi za vilainishi zipo bandarini na mama amesema zipite kwa msamaha
Marinda yatapata tabu Sana
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ah huyu nani tena hata kwa code hebu mpost hapa of course Nedy wali nazi kitambo tuHuyu mbona habari zake tunazo kitambo hajafanya kusudi hapo anajua anchokifanya na yule jamaa nae ni handsome boy kifua kimemkaa vizuri anamiliki brand kubwa ya mavazi town anapendwa na mademu lakini huwezi amin anamkaa mwenzie bila huruma
Hizi mada zimeshamiri sasa mpaka zinatia kinyaa