Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
🤣🤣Akivaa yeye inatosha tu mwana.....Ni fashoon tu msikasirike wanaume anawashauri na nyie mvae hilo sio gauni ni suruali tu 😅
Kijana hana adhabu huyo [emoji23][emoji23][emoji23]Ni fashoon tu msikasirike wanaume anawashauri na nyie mvae hilo sio gauni ni suruali tu [emoji28]
Mkuu nutake radhi mm sipend huo mchezo ila toka jpm afariki na Mambo haya yameongezeka ukiuliza kulikon unaambiwa tulia mama anafungua nchiMkuu kwanini unapenda sana hako ka mchezo?
Huko ma mbele ni mwanaume gani umewahi kumuona amevaa gauni?Wanaiga sana kutoka ma mbele
Said Seif AllySaid Seif Ally (aliyezaliwa Februari 24, 1995) maarufu kwa jina la Nedy Music, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za Afropop, Zouk na Bongo Flava kutoka Tanzania. Anafahamika kwa wimbo wake "Usiende Mbali". Nedy aliteuliwa kwenye tuzo za Afrima mwaka wa 2018 na alishinda katika kipengele cha "African Fans favourite"
Hivi karibuni ameachia picha mpya akiwa amevalia gauni, Kwa mujibu wa kauli yake amesema hili sio Gauni la kike Ila ni fashion na ametumia ubunifu ili hata wanaume wengine waweze kuvaa
View attachment 2023341
Khe!! [emoji849]. Lini hiyo mbona imenipita kimya kimyaAsee huu upepo umezoa sanaa watoto wetu wa kiume.
Na hivi juzi juzi tuu wanafunzi wa IFM wamechapana paip...
Acha tuonee
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Vijana wa Dar kutoka hapo IFM umeona walichofanywa?😄😄
Wasenge utawajua tuSaid Seif Ally (aliyezaliwa Februari 24, 1995) maarufu kwa jina la Nedy Music, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za Afropop, Zouk na Bongo Flava kutoka Tanzania. Anafahamika kwa wimbo wake "Usiende Mbali". Nedy aliteuliwa kwenye tuzo za Afrima mwaka wa 2018 na alishinda katika kipengele cha "African Fans favourite"
Hivi karibuni ameachia picha mpya akiwa amevalia gauni, Kwa mujibu wa kauli yake amesema hili sio Gauni la kike Ila ni fashion na ametumia ubunifu ili hata wanaume wengine waweze kuvaa
View attachment 2023341
Haha unataka kusema hicho chuo wanafunzi siyoVijana wa Dar kutoka hapo IFM umeona walichofanywa?😄😄
One man down Captain!!Over over I repeat one man down !overSaid Seif Ally (aliyezaliwa Februari 24, 1995) maarufu kwa jina la Nedy Music, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za Afropop, Zouk na Bongo Flava kutoka Tanzania. Anafahamika kwa wimbo wake "Usiende Mbali". Nedy aliteuliwa kwenye tuzo za Afrima mwaka wa 2018 na alishinda katika kipengele cha "African Fans favourite"
Hivi karibuni ameachia picha mpya akiwa amevalia gauni, Kwa mujibu wa kauli yake amesema hili sio Gauni la kike Ila ni fashion na ametumia ubunifu ili hata wanaume wengine waweze kuvaa
View attachment 2023341
Embu tupia connection tuhakikishe mkuuNasikia kuna wanafunzi chuo kimoja wamebanduana
Ova
Connection uone msela unamfira mwenzake?Embu tupia connection tuhakikishe mkuu
Labda dingi yake ndo avaeSaid Seif Ally (aliyezaliwa Februari 24, 1995) maarufu kwa jina la Nedy Music, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za Afropop, Zouk na Bongo Flava kutoka Tanzania. Anafahamika kwa wimbo wake "Usiende Mbali". Nedy aliteuliwa kwenye tuzo za Afrima mwaka wa 2018 na alishinda katika kipengele cha "African Fans favourite"
Hivi karibuni ameachia picha mpya akiwa amevalia gauni, Kwa mujibu wa kauli yake amesema hili sio Gauni la kike Ila ni fashion na ametumia ubunifu ili hata wanaume wengine waweze kuvaa
View attachment 2023341
Mkuu naomba maujanja ya jinsi ya kuweka rangi kwenye maandishi hivyoDiamond atakuja kuauwa hawa watoto