Hayawihayawi hatimaye yamekuwa: Mliokuwa mnasubiri Ajira za Ualimu nafasi zimetangazwa

Hayawihayawi hatimaye yamekuwa: Mliokuwa mnasubiri Ajira za Ualimu nafasi zimetangazwa

Wewe jamaa unashida pahala walimu wanalia michakato Yao ya ajira imekuwa ikifia njiani yaani aikamiliki akuna anayeajiliwa sio suala la kutangaza ajira mbona zimetangazwa sana tu hii ni awamu ya tatu ishu hapo awahiti usaili wanatangaza then wanayoyoma inaishia hivo icho ndio kilio cha walimu.
Wanaomba ajira lakini mwisho wa siku michakato inakwamia njiani
 
Mchakato uliotangulia utangoja hao wakishamaliza applications na kushortlistiwa ndio wataendeleza Kwa pamoja. Mhe. Rais kutoa kibali Cha ajira za ziada 4000 hizo za biashara na hamali ni Kwa Wema na kusubiri Kwa wale wa usaili waliotangulia nayo ni Kwa Nia Njema.

Thanks for that Her Excellence. SSH.
 
Back
Top Bottom