new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 817
- 1,687
My friend, hakuna fluid ya transmission ina dumu life time ya gari.. hizi fluid with time zina oxidize na kupoteza properties zake zinazoifanya ifanye kazi yake ndan ya transmission system. Hata nje wengi wamelia kutokana na hizi misleading information za lifetime transmission fluid/sealed transmission fluid.Sio mimi , na wala sijawahi nunua ziro km , huko first world wanayanunua na kuyatumia , nimeyashuhudia hapa kwetu yakija kama mitumba , mengine hadi km 2000000 plus , gearbox oil plug haijawai guswa na chuma ipo intact..
Ukicheck hata hapa bongo, ukiwa na gari yenye sealed transmission system (yaan haina deep stick, inawasumbua mafundi namna ya kupima fluid level na namna kujaza hiyo fluid.