Hdraulic oil kwa Crown Athlete

Hdraulic oil kwa Crown Athlete

Sio mimi , na wala sijawahi nunua ziro km , huko first world wanayanunua na kuyatumia , nimeyashuhudia hapa kwetu yakija kama mitumba , mengine hadi km 2000000 plus , gearbox oil plug haijawai guswa na chuma ipo intact..
My friend, hakuna fluid ya transmission ina dumu life time ya gari.. hizi fluid with time zina oxidize na kupoteza properties zake zinazoifanya ifanye kazi yake ndan ya transmission system. Hata nje wengi wamelia kutokana na hizi misleading information za lifetime transmission fluid/sealed transmission fluid.

Ukicheck hata hapa bongo, ukiwa na gari yenye sealed transmission system (yaan haina deep stick, inawasumbua mafundi namna ya kupima fluid level na namna kujaza hiyo fluid.
 
Nimeshuhudia hizo sealed transimission gearbox zikija mitumba na malaki ya kilometers , hasa za japan , na zipo intact, tatizo lipo kwa mafundi wa bongo, hawasomi wala kujifunza wao ni kukariri tu,
Lifebtime warraty kwa ulaya , maana yake ni km 150,000 au miaka mitatu , whichever comes first. Sealed transimission zinapita zaidi ya hapo.
 
So lifetime kwa wenzetu they mean 150,000 km or three years whichever comes first? If this is a case sawa mana kwa 100,000 miles transmission fluid inakua bado ipo ina uhai... beyond that una run risk ya premature failure because of oxidized transmission fluid...na wakiwa wanauza haya magari ni vizuri ucheki zile auction details at least utakuta service history ya gari ambayo itakupa picha ya gari ulio nunua imekua serviced to what extent.. including transmission fluid changing..

Ila mtu akinunua gari kwa hawa car dealers wa TZ ambao hurudisha km nyuma they never give out auction details/documents kutoka huko gari ilipotoka hivo unakosa service history ya gari.
 
Sawa kabisa , do not buy low millage car or truck , un less una well established history of it.
Principle nzuri ya kununua used ni highillage cars or truck , provided they look immacculate, high millage motor maana yake ni kuwa halikumsumbua first owner , lina genuine millage , na quite possibly lilikuwa well cared with genuine parts.
Ukiona gari la km chache lipo sokoni, mara nyingi km zinakuwa tempered au lilikuwa lemon kwa first owner , hasa watu wa german dogs huwa wanaingia sana mkenge huu , unaikuta bmw kali km chache bei rahisi, kumbe linasumbua electronic air auspepsion cards , matengenezo dola elfu 6 , gari umenunua dola elfu 3
 
Upo sahihi kabisa na ndiyo maana nilipata shida kujua recomended gearbox fluid
Mwenyewe mara ya kwanza ilinitoa ushamba mkuu lakini nilikuwa tayari kujifunza kila kitu siku hizi kipo wazi.
 
Sawa kabisa , do not buy low millage car or truck , un less una well established history of it.
Principle nzuri ya kununua used ni highillage cars or truck , provided they look immacculate, high millage motor maana yake ni kuwa halikumsumbua first owner , lina genuine millage , na quite possibly lilikuwa well cared with genuine parts.
Ukiona gari la km chache lipo sokoni, mara nyingi km zinakuwa tempered au lilikuwa lemon kwa first owner , hasa watu wa german dogs huwa wanaingia sana mkenge huu , unaikuta bmw kali km chache bei rahisi, kumbe linasumbua electronic air auspepsion cards , matengenezo dola elfu 6 , gari umenunua dola elfu 3
Inategemea na mwaka uliotengenezwa gari.

Gari ya 2019 kuendelea ni reasonable kukuta ina low mileage kuliko gari ya 2010.
 
Tafadhali wenye hizo gari mnatumia hydraulic oil aina gani ambazo ni recommended?
Asante
Nafikiri ukitafuta specification kwenye mtandao utapata. Kwanza ni kujua hizo gari zinatumia gearbox gani( nafikiri unahitaji kwa ajili ya gearbox ).
 
Gari nyingi latest zinakuja lifetime warranty gearbox oil , sijajua kwa cvt gearbox au hiyo crown
Maana yake ni miaka 5 hadi 7,wakichukulia baada ya hapo gari halifai kwa matumizi.
 
Attachments

  • F9CED69B-EBF8-4BB5-BD84-D555C6313370.jpeg
    F9CED69B-EBF8-4BB5-BD84-D555C6313370.jpeg
    69.8 KB · Views: 8
Sawa kabisa , do not buy low millage car or truck , un less una well established history of it.
Principle nzuri ya kununua used ni highillage cars or truck , provided they look immacculate, high millage motor maana yake ni kuwa halikumsumbua first owner , lina genuine millage , na quite possibly lilikuwa well cared with genuine parts.
Ukiona gari la km chache lipo sokoni, mara nyingi km zinakuwa tempered au lilikuwa lemon kwa first owner , hasa watu wa german dogs huwa wanaingia sana mkenge huu , unaikuta bmw kali km chache bei rahisi, kumbe linasumbua electronic air auspepsion cards , matengenezo dola elfu 6 , gari umenunua dola elfu 3

True concept

Wengi wameumia kwa uongo wa low mileage
Nenda Beforwad gari nyingi zina 150000+km na bei zimesimama ! Huwa najiuliza hawa dealer wetu bongo wao wananunulia wapi gari za km efu 30 tu[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom