Mwalimu mkuu na mkuu wa shule kuna tofauti yoyote?
Siku hizi wote wanaitwa wakuu wa shule kwa kigezo cha wote wanakuwa na kiwango kinachofanana cha elimu. Zamani mwalm mkuu alikuwa ana ngazi ya cheti na mkuu wa shule alikuwa na stashahada au shahada, lakini sasa hivi shule zote zina wakuu wa shule kwa kuwa elimu ni stashahda au shahada ndoo maana wqmebadilisha.Primary ndio kuna Mwalimu Mkuu ila Secondary ni Mkuu wa Shule.