Wee umejuaje kama mgonjwa alikua anaumwa corona, kipindi kifupi ambukizwe na hapo hapo aanze kuumwa corona na hapo hapo kufa. Hata kama ugonjwa huu ni tishio lakini sio hivyo.Umesoma jinsi huyo mwalimu alivyofariki? Alienda kumtembelea mwenzake hospitali then aliporudi nae akaanza kuumwa na kufa.
Maana yake kama tungekuwa tunacheza kwaito ya WHO huyu mwalimu asingeruhusiwa kuingia hospitali bila ya tahadhari zote na pengine hata asingeruhusiwa kuingia kwenye wodi ya wagonjwa wa Corona na leo angekuwa hai.
Lakini kwa sababu tumechagua kucheza sengeli huyu mwalimu aliingia wodi ya wagonjwa wa corona kwa madai kuwa mgonjwa anaumwa pnemonia kwa hiyo hana haja ya kuchukua tahadhari yoyote na matokeo yake ndiyo hayo!
Unamaana kila anaye kufa siku hizi anakorona sio, na kila mtu amekuwa daktari kujua mwalimu corona ndo ilimuua.