TANZIA Head Master wa Bwiru Boys, Elias Kaboja afariki dunia

TANZIA Head Master wa Bwiru Boys, Elias Kaboja afariki dunia

Mwalimu mkuu na mkuu wa shule kuna tofauti yoyote?
Mwalimu mkuu ni mkuu wa taaluma wa shule, hahusiki na uendeshaji wa shule. Mara nyingi hutumika kwa shule za msingi. Mkuu wa shule ni msimamizi wa shughuli zote za shule na hutumika kwa shule za sekondari.
 
Hivi jamani kwanini tunashindwa hata kuvaa mask na kunawa mtu unaenda Hosp haijalishi anaumwa nini.

Sasa kama walimu sasa sijui usalama wa wanafunzi na labda wanafunzi kwa kuwa wana nguvu ya kupambana na huu ugonjwa ila je wakiwapelekea wazazi wao au bibi na babu majumbani.

Hatari sana.
Umenena vizuri sana. Watu wanashabikia lockdown, hawajui kuwa jambo hili ni la kibinafsi zaidi. Oooh serikali, serikali, Serikali ije ikusafishie choo chako?
 
R.I.P mwalimu, mwezi jana tu tumeonana du ama kweli kazi ya Allah haina makosa, pumzika kwa man.
 
Haya yote ni matokeo ya bichwa kubwa kucheza sengeli badala ya kwaito!
09876.jpg
 
Habari wanajukwaa,

Shule kongwe ya ufundi ya Bwiru boys imepoteza mwalimu wake mkuu, mwalimu Elias Kaboja.

Taarifa zinadai Mwalimu Kaboja alienda kumsalimu mwalimu wake hospitali ya Bugando na alipotoka naye akaugua na alipopelekwa hospitali hakuweza kurudi tena nyumbani.

Dah..Mungu awajalie wepesi walioguswa na msiba huu. Na amjalie Marehemu pumziko la amani
 
Kwani huko wanapocheza kwaito hawafi mkuu? Cheki Rwanda pamoja na maangalizo yote wamepigwa marufuku uingereza kisa corona
Umesoma jinsi huyo mwalimu alivyofariki? Alienda kumtembelea mwenzake hospitali then aliporudi nae akaanza kuumwa na kufa.

Maana yake kama tungekuwa tunacheza kwaito ya WHO huyu mwalimu asingeruhusiwa kuingia hospitali bila ya tahadhari zote na pengine hata asingeruhusiwa kuingia kwenye wodi ya wagonjwa wa Corona na leo angekuwa hai.

Lakini kwa sababu tumechagua kucheza sengeli huyu mwalimu aliingia wodi ya wagonjwa wa corona kwa madai kuwa mgonjwa anaumwa pnemonia kwa hiyo hana haja ya kuchukua tahadhari yoyote na matokeo yake ndiyo hayo!
 
Habari wanajukwaa,

Shule kongwe ya ufundi ya Bwiru boys imepoteza mwalimu wake mkuu, mwalimu Elias Kaboja.

Taarifa zinadai Mwalimu Kaboja alienda kumsalimu mwalimu wake hospitali ya Bugando na alipotoka naye akaugua na alipopelekwa hospitali hakuweza kurudi tena nyumbani.

R.I.P mwalimu. Tuchukue tahadhari.
 
kila mtu ashinde mechi zake.
Hivi jamani kwanini tunashindwa hata kuvaa mask na kunawa mtu unaenda Hosp haijalishi anaumwa nini.

Sasa kama walimu sasa sijui usalama wa wanafunzi na labda wanafunzi kwa kuwa wana nguvu ya kupambana na huu ugonjwa ila je wakiwapelekea wazazi wao au bibi na babu majumbani.

Hatari sana.
 
Mkuu Bugando bila barakoa hauingii na maji getini yapo. Halafu tunapenda sana kulalamika enzi zile serikali ilifata kila hatua bado malalamiko yakawepo, waliruhusu hadi barakoa za vitenge watu mkatukana ila leo kule wanaposifia who pana barakoa za kushona nyingi.

Hatuwezi kuhukumu kuwa mgonjwa wa mwalimu mkuu alikua na korona. Kujikinga muhimu ila lockdown hapana. Wakitangaza sahiv kuna corona watu mtaanza kulilia lockdown. Tutakula wapi.

Wameleta nyungu season 3 mnadhihaki
Umesoma jinsi huyo mwalimu alivyofariki?Alienda kumtembelea mwenzake hospitali then aliporudi nae akaanza kuumwa na kufa.Maana yake kama tungekuwa tunacheza kwaito ya WHO huyu mwalimu asingeruhusiwa kuingia hospitali bila ya tahadhari zote na pengine hata asingeruhusiwa kuingia kwenye wodi ya wogonjwa wa Corona na leo angekuwa hai.Lakini kwa sababu tumechagua kucheza sengeli huyu mwalimu aliingia wodi ya wagongonjwa wa corona kwa madai kuwa mgonjwa anaumwa pnemonia kwa hiyo hana haja ya kuchukua tahadhari yoyote na matokea yake ndiyo hayo!
 
Wapi wamesema kaingia kwenye wodi ya wagonjwa wa corona?. Hivi huwa mnalipwa shilingi ngapi kuupigia debe ugonjwa wa corona?

Watu wanakufa sana kila siku kwasababu mbalimbali toka zamani. Sema tu usambaaji wa taarifa kwa siku za hivi karibuni umekuwa rahisi kutokana na teknolojia ya mawasiliano.

Mna ukuza sana huu ugonjwa.
 
Hivi jamani kwanini tunashindwa hata kuvaa mask na kunawa mtu unaenda Hosp haijalishi anaumwa nini.

Sasa kama walimu sasa sijui usalama wa wanafunzi na labda wanafunzi kwa kuwa wana nguvu ya kupambana na huu ugonjwa ila je wakiwapelekea wazazi wao au bibi na babu majumbani.

Hatari sana.

Tunajisahau sana wana nzengo
 
Lala salama mwalimu Elias Kaboja
Pole kwa familia na wote walioguswa na msiba
 
Back
Top Bottom