TANZIA Head Master wa Bwiru Boys, Elias Kaboja afariki dunia

Wee umejuaje kama mgonjwa alikua anaumwa corona, kipindi kifupi ambukizwe na hapo hapo aanze kuumwa corona na hapo hapo kufa. Hata kama ugonjwa huu ni tishio lakini sio hivyo.

Unamaana kila anaye kufa siku hizi anakorona sio, na kila mtu amekuwa daktari kujua mwalimu corona ndo ilimuua.
 
May his soul RIP.

Huyu Mzee alikua moja ya waumini diehard wa Meko, mwaka 2015 tukiwa kidato cha sita Bwiru Boys, alikua akitulazimisha twende kwenye mikutano ya CCM.
Muda mwingine alikua akitukuta wanafunzi tumekaa, anaanza ku bragg kuhusu sentiments na sera za Magu na CCM, kama ananipigia kampeni vile.
It's very sad kuwa, alisikiliza mpaka ambavyo hakupaswa kusikiliza.

Rest in peace Mwl. wangu, EJ Kaboja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…