Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Yanga wapo kundi D katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Wamepangwa kundi moja na kigogo Al Ahly.
Head to head wamekutana mara 6. Yanga akifanikiwa kuibuka mara moja tu na ushindi dhidi ya Al Ahly.
Ikumbukwe kundi la Yanga lina timu zilizoshiba ambazo ni Al Ahly, CR Belouzdad na Madeama ambao ni wabishi sana wakiwa kwao.
Kuna hati hati ya Yanga akawa kibonde wa kundi lake ukilinganisha na timu nyingine ambazo zina uzoefu na ligi ya mabingwa.