Head to Head: Yanga kashinda mechi moja tu katika michezo sita iliyopita dhidi ya Al Ahly

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Yanga wapo kundi D katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Wamepangwa kundi moja na kigogo Al Ahly.

Head to head wamekutana mara 6. Yanga akifanikiwa kuibuka mara moja tu na ushindi dhidi ya Al Ahly.

Ikumbukwe kundi la Yanga lina timu zilizoshiba ambazo ni Al Ahly, CR Belouzdad na Madeama ambao ni wabishi sana wakiwa kwao.

Kuna hati hati ya Yanga akawa kibonde wa kundi lake ukilinganisha na timu nyingine ambazo zina uzoefu na ligi ya mabingwa.
 
Yanga wapo kundi D katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Wamepangwa kundi moja na kigogo Al Ahly.

Head to head wamekutana mara 6. Yanga akifanikiwa kuibuka mara moja tu na ushindi dhidi ya Al Ahly...
Usiseme hati hati,nyoosha maelezo

Je Yanga ni kibonde?

Je hao wote waliobaki ni vipanga?

Je Yanga akipita mtakubali kuwa Yanga ni giant?

Jibu Ili tutunze risiti
 
Kwa hizo data mbona hausemi wamepindua meza?
 
hizo ni ndoto zako
 
Nyoosha maelezo Kama mwanaume aliyekamilika sio unajiumauma Kama vile ujielewi, unaposema medeama wagumu kwao kwaiyo yanga ndio nyepesi kwao na ugenini? Unajuwa maana ya uzoefu ama unapuyanga tu? Yanga kacheza kombe la shirikisho barani afrika Tena na waarabu hao hao waliomtwanga Aly ahly unapataje mamlaka ya kusema yanga Hana uzoefu na mechi kubwa barani afrika Tena kwenye viwanja tofauti tofauti?
 
Muda utakapofika utaujutia huu uchaa mbuzi wako wa mchongo.
 
Siku ikifika nitakuja kufukua hili kaburi.
 
N aamin8 Yanga watafanya vizuri sana.

Mpira wa Tanzania umebadilika, tumetoka kwenye kichwa cha mwendawazimu, sasa tupo kwenye kujifunza kuwa vinyozi.
 
Si tulishasema sisi malengo yetu ni group stages,? Hayo mengine yskija itakuwa ni bonus tu kwetu

Hersi ameongeza idadi ya wenye akili pale uto. Aliona mbali sana, muhimu group stage ameshamaliza ahadi yake.

Hizi kenge nyingine acha zitoke damu kwanza ndo zitaelewa.

Sasa uto wenye akili ni 3 [emoji23][emoji23]
 
Mbona hujaweka ile ya 5-0 na 4-0 ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…