Head to Head: Yanga kashinda mechi moja tu katika michezo sita iliyopita dhidi ya Al Ahly

Al ahly ya sasa sio kama ya zamani al ahly ya sasa imebadilika pakubwa mno.
 
Unadhani Simba pekee ndiye alipigiwa 5?huyo jamaa ana maanisha nyie ndio mlipogwa 5-0 na 4-0 mwaka 1982 na 1988
Sasa hao waliochezea yanga enzi hiyo nafikiri hata wengi wao wazee au hata hawapo.
Hiyo ni historia, yanga ya sasa ndio iliyocheza fainali shirikisho ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…